Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Hahahah kabisaUkiona hivyo ujue kuna mawili;
1. Hauna hela.
2. Hauna mvuto.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli mchunguUkiona hivyo ujue kuna mawili;
1. Hauna hela.
2. Hauna mvuto.
acha kukometi bira kufikirihuu uzi ni wa kuleta huku jf? hizi bangi bhana
umeongea nn ntakutukanaSasa unamlalamika nani wakati yote yanatokana na ujinga wako? Ndio uache kusumbua watu ushaona hataki ya nini kujipendekeza babu wewe[emoji13] [emoji108] [emoji108]
kweli elimu elimu elimu unamaliza wino bure mvuto na hela vinahusiana vipiUkiona hivyo ujue kuna mawili;
1. Hauna hela.
2. Hauna mvuto.
bora umejitaidi kujibu kuliko hao wajuumay be wewe ni msumbufu. ndio wale wakukupigia simu hana jambo la maana lakuongea, utamsikia "EHE MAMBO MENGINE"