P Paf JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 1,703 Reaction score 3,307 Aug 2, 2021 #1 Enzi Mwl Nyerere haikuwa siri kwa kiongozi kama anaumwa hadi utawala wa JK. Nani kaanzisha utamaduni wakuficha mtu akiwa na dhamana ya kitaifa. Je, ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa halafu kifo kitangazwe?
Enzi Mwl Nyerere haikuwa siri kwa kiongozi kama anaumwa hadi utawala wa JK. Nani kaanzisha utamaduni wakuficha mtu akiwa na dhamana ya kitaifa. Je, ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa halafu kifo kitangazwe?
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,589 Reaction score 35,268 Aug 2, 2021 #2 Tatizo wanakufa ghafla 😦 Ile bado mnajadiliana Nani akatangaze kuwa tuna mgonjwa , mara nesi anawakimbilia kuwapa news ya kifo.
Tatizo wanakufa ghafla 😦 Ile bado mnajadiliana Nani akatangaze kuwa tuna mgonjwa , mara nesi anawakimbilia kuwapa news ya kifo.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Aug 3, 2021 #3 Hatuko Enzi za Mwalimu Nyerere tena
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Aug 3, 2021 #4 Kabugula said: Enzi Mwl Nyerere haikuwa siri kwa kiongozi kama anaumwa hadi utawala wa JK. Nani kaanzisha utamaduni wakuficha mtu akiwa na dhamana ya kitaifa. Je ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa halafu kifo kitangazwe? Click to expand... CCM wanajiona wao ni miungu hawatakiwi kuugua Wala kufa
Kabugula said: Enzi Mwl Nyerere haikuwa siri kwa kiongozi kama anaumwa hadi utawala wa JK. Nani kaanzisha utamaduni wakuficha mtu akiwa na dhamana ya kitaifa. Je ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa halafu kifo kitangazwe? Click to expand... CCM wanajiona wao ni miungu hawatakiwi kuugua Wala kufa
Snipper JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 1,336 Reaction score 2,171 Aug 3, 2021 #5 Acha waendelee kufanya mambo kimyakimya
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,552 Reaction score 24,166 Aug 3, 2021 #6 Kabugula said: Enzi Mwl Nyerere haikuwa siri kwa kiongozi kama anaumwa hadi utawala wa JK. Nani kaanzisha utamaduni wakuficha mtu akiwa na dhamana ya kitaifa. Je ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa halafu kifo kitangazwe? Click to expand... Wezi wengi huwa wanapenda kufichaficha mambo yao hata ya kawaida tu ambayo hata yakijulikana hakuna tatizo.
Kabugula said: Enzi Mwl Nyerere haikuwa siri kwa kiongozi kama anaumwa hadi utawala wa JK. Nani kaanzisha utamaduni wakuficha mtu akiwa na dhamana ya kitaifa. Je ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa halafu kifo kitangazwe? Click to expand... Wezi wengi huwa wanapenda kufichaficha mambo yao hata ya kawaida tu ambayo hata yakijulikana hakuna tatizo.