Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Kuna nyumba ya kupanga nilienda kukaa siku mbili kwa mshkaji wangu, nilipata wakati mgumu sana kutumia choo mchana kwa sababu pembeni ya choo paligeuzwa kuwa kibaraza cha kupigia stori kwa wadada wanaoishi pale.
Kama mnavyojua raha ya kukata gogo ni usiri, maana katika vuta nikuvute kuna aina ya kelele mithiri ya bodaboda inayolalamika kupanda kwenye kilima ikiwa imebebeshwa gunia za mchele.
Kwa hali hii ilinibidi niwe naenda bar ya karibu ili kujisitiri,
Licha ya hivi vituko, mwenyeji wangu wa hapo nae alikerwa sana na hizi tabia ila alinivunja mbavu aliponiambia kwa sasa kasha master utaalamu wa kukata gogo kimya kimya kama bunduki iliyowekewa silencer ya kupunguza kelele za ufyatuaji wa risasi 🙂🙂
JE NI UUNGWANA KUMNYIMA USIRI MTU AENDAPO CHHONI??????