Je, Ni uungwana kupigia stori nje ya choo, ?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Kuna nyumba ya kupanga nilienda kukaa siku mbili kwa mshkaji wangu, nilipata wakati mgumu sana kutumia choo mchana kwa sababu pembeni ya choo paligeuzwa kuwa kibaraza cha kupigia stori kwa wadada wanaoishi pale.

Kama mnavyojua raha ya kukata gogo ni usiri, maana katika vuta nikuvute kuna aina ya kelele mithiri ya bodaboda inayolalamika kupanda kwenye kilima ikiwa imebebeshwa gunia za mchele.

Kwa hali hii ilinibidi niwe naenda bar ya karibu ili kujisitiri,

Licha ya hivi vituko, mwenyeji wangu wa hapo nae alikerwa sana na hizi tabia ila alinivunja mbavu aliponiambia kwa sasa kasha master utaalamu wa kukata gogo kimya kimya kama bunduki iliyowekewa silencer ya kupunguza kelele za ufyatuaji wa risasi πŸ™‚πŸ™‚

JE NI UUNGWANA KUMNYIMA USIRI MTU AENDAPO CHHONI??????
 
Hawajafundishwa na wazazi hao
Ilibidi uwafundishe kwa kuwamwagia maji hapo lazima wangebadili mkao
 
ukikuta wamejaa hapo nje, we ingia chooni na maj meng kwenye ndoo then kaa kama dkk 5 chukua maji wamwagie hapo lzm wakimbie.
 
Kama kuna bomba fungua maji yaende kwenye ndoo kwa kuchuruzika ,yatakuwa yanatoa sauti na wewe huku unakataa zako gogo bila wasiwasi ,,,

Hii mbinu huwa natumia kama choo kina bomba ndani ,,maana kunya nayo pia ni ufaragha hakuna mtu anapenda asikiwe vile anakohoa kohoa na kujikaza wakati wa shughuli yenyewe;
 
Dah..yaani...gonga mtindi wako lita 3 pamoja na maharage ya Argentina...shushia na togwa ya ulezi lita1...wakikaa hapo ingia...nakwambia itakuwa mwanzo na mwisho...[emoji13][emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ukikuta wamejaa hapo nje, we ingia chooni na maj meng kwenye ndoo then kaa kama dkk 5 chukua maji wamwagie hapo lzm wakimbie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani hapo kama ni mimi naingia chooni nakunya kwa sauti na kujamba sana halafi nikimaliza napiga mkunyeto SAA nzima bafuni halafu nikimaliza kunya natoka nje napita mbele yao nachuma majani ya miti narudi tena chooni kuchamba.!
 
Dah..yaani...gonga mtindi wako lita 3 pamoja na maharage ya Argentina...shushia na togwa ya ulezi lita1...wakikaa hapo ingia...nakwambia itakuwa mwanzo na mwisho...[emoji13][emoji13]
tena watakuheshimu sana.....
 
Write your reply...zote mbwembwe dawa ni kuwaambia na kuwaonya sio vizuri wakikataa anza kula chakula chenye mabomu mayai, ulezi, maarage, masoda yenye gasi kama Coca-Cola, supu ya makongoro, kama ni mlevi wa mataputapu kunywa, kunywa maziwa mtindi kwa sana bila kusahau makande na mchanganyiko WA mambogamboga plus mauyoga pori choma maboga

hakikisha unakula hivyo vitu kwa siku mbili tu halafu wategee wamekaa nenda kakate gogo mkuu sio wao tu watateseka hata vyumba jirani
 
Yaani hapo kama ni mimi naingia chooni nakunya kwa sauti na kujamba sana halafi nikimaliza napiga mkunyeto SAA nzima bafuni halafu nikimaliza kunya natoka nje napita mbele yao nachuma majani ya miti narudi tena chooni kuchamba.!
Nimecheka sn Mkuu, we ni mtu hatari sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…