JE? NI VIBAYA KUFUNGA BILA KUSWALI

bablon6

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
630
Reaction score
566
Mimi mkristo ila nafunga sasa kwenye pita pita nikaona bango linasema "Kufunga bila kuswali ni sawa na kuweka simu chaji bila betri"

Sasa ndo nauliza Je? Fungo yangu inahesabika au najishindisha na njaa

[emoji17][emoji17]
 
Malipo ya kufunga ni ya yeye mwenyewe na anajua yeye mweneyewe
 
Tunashuriwa kuswali kila sala sio usubilie mfungo wa ramadhani ndo uanze kuswali kwa kuwa unafunga.
 
Dah....wenyewe wanasema kufungà ni SIRI..... Kati ya mfungaji na Mungu wake.....asikubabaishe MTU... 😕 😎
 
Funga ni nguzo ya uislam,na kuswali ni nguzo pia kwahiyo kusema kwamba ukifunga bila kuswali fungal yako haikubaliwi si kweli,funga itakubaliwa Ila kwenye upande Wa swala utakuwa na gape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…