Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
Egypt kuna maandishi mengi kuhusu piramidi kubwa la Gaza tutafute kama tutapata chochote kitu kuhusu kazi hizi za maajabu halafu tutarudi Peru kwenye haya mapiramidi matatu kabla hatujatoka nje ya dunia na kuitembelea sayari ya Mars ambako nako eti kuna Piramidi.
Je ni viumbe kutoka sayari ya mbali ndiyo waliyo jenga Pyramid ndani ya Mars?
Daima majengo hayo ya Gaza yamekuwa yaki washangaza wanasayansi, hasa kutokana na ukamilifu wa muundo wake ambao unathibitisha utumikaji wa elimu kubwa ya mahesabu na elimu ya maumbo.
Uyakinifu wa mahesabu yaliyotumika kusimamisha kuta za Pyramid, hata kwa theluthi ya sekunde haikubaliki kwamba, eti yalijengwa na watumwa walioshinikizwa kwa adhabu na viboko, bali ni kazi ya kitaalam ambayo taaluma yetu ya leo ya ujenzi, ikishirikiana na mahesabu, elimu ya nyota na vifaa tulivyo navyo hatujaweza kutengeneza nakala (copy) ya mfano wa jengo hilo.
Kamwe hayakujengwa kama makaburi ya Mafarao kama wanavyo tufundisha katika mitaala yao, wala hayakujengwa na Mafarao wenyewe, wala watumwa, bali ni hazina waliyo irithi, wameirithi kutoka wapi, hilo ndilo swali tunalo litafutia jibu katika mtiririko wa posti hizi. Usikose mwendelezo wake.