Je, ni vizuri kunywa yai bichi ili kupata virutubisho muhimu au ni lazima likaangwe?

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
869
Reaction score
961
Habari Wadau!
Kama title inavyojieleza hapo Je MTU anaweza kunywa yai bichi au ni lazima likaangwe ili kupata virutubisho vyote vilivyopo ndani?
 
mkuu bora ulichemshe ndo utalifaidi ila ukinywa yai bichi kitachofata ni kupata sauti lainiiii maana linalainisha mfumo wa sauti
 
Shombo la yai mmmh
Ha ha ha sasa ndiyo dawa hiyo, penye tiba usivikilie mengine, kata punzi kunywa. Mbona watu wanakunywa ile nanihii ya bina damu, bila kujali na binadamu haliwi, itashindika yai la kuku anaeliwa ha ha ha.
 
Ile haina shombo sana, mmh mie yai bichi hapana siwezi kujaribu
 
Ha ha ha sasa ndiyo dawa hiyo, penye tiba usivikilie mengine, kata punzi kunywa. Mbona watu wanakunywa ile nanihii ya bina damu, bila kujali na binadamu haliwi, itashindika yai la kuku anaeliwa ha ha ha.
enheee hebu tuambie we uliona wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…