bakarikazinja
Senior Member
- Nov 9, 2009
- 177
- 8
Marytina ameeleza vizuri. KWa mfano mimi nina marafiki wengi tu lakini kuna mmoja tu ambaye namwamini sana kwani ni rafiki wa siku nyingi, tumepitia mengi na tumesaidiana mengi tu. Namwamini naye ananiamini, hivyo huwa tunashare concern zetu. Unapobaki na tatizo bila kupata msaada wa mawazo linakuwa mzigo kwako na kupelekea msongo usioisha.inategemea siri/tatizo lenyewe limekaa vipi?mfano una mchumba/mme lakini kuna wakati mkaka flani anakuchanganya unaweza kumwambia yeyote kama si hapa JF tu ambapo hatufahamiani physically but just electronically?
When you tell the right person your problems unapata ahueni fulani ila soi kumwambia everyone who come across.
appreciate!!! ndio maana ukiwa na tatizo usilodhubutu kumweleza hata mchungaji/ padri wako lilete JF watakukejeli ila utapata ahueni flani.Marytina ameeleza vizuri. KWa mfano mimi nina marafiki wengi tu lakini kuna mmoja tu ambaye namwamini sana kwani ni rafiki wa siku nyingi, tumepitia mengi na tumesaidiana mengi tu. Namwamini naye ananiamini, hivyo huwa tunashare concern zetu. Unapobaki na tatizo bila kupata msaada wa mawazo linakuwa mzigo kwako na kupelekea msongo usioisha.