Je ni vyema kumshirikisha

Je ni vyema kumshirikisha

shoshte

Senior Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
129
Reaction score
20
Poleni kwa majukumu mimi ni swali ta ufahamu kidogo
Una mchumba amabye mnategemea kufunga pingu za maisha mnaaminiana na mnapendana
mmeshamaliza kila kitu kilichobakia ni maaandalizi ya ndoa
je nivyema kumshirikikisha
1 kipato chako
2 mipango yako ya baadae
3 malengo yango
yaaaani kumuweka wazi kwa kila kitu bila kumficha hata chochote
Asanteni
 
Kama unajua yeye ni nani lazima utajua majukumu yake na kutomshirikisha ni ujinga mkubwa,labda muwe mnafanya maigizo au muwe hamjui mnachokifanya!
 
mimi nadhani haya ni mambo ya msingi sana, ila issue ya kipato sidhani kama ni sahihi sana katika hatua za mwanzo maaa uchumba unaweza kuvunjika na kama umeshaji anika sana inakuwa sio nzuri sana.

kwa mtazamo wangu namba 2 na 3 ni sahihi ila namba 1 no katika hii stage ili kama anaingia kwenye ndoa asiwe na picha ya mahela bali mapenzi
ninavyoona mimi
 
Kama unajua yeye ni nani lazima utajua majukumu yake na kutomshirikisha ni ujinga mkubwa,labda muwe mnafanya maigizo au muwe hamjui mnachokifanya!

kujua kwa kuhisi sio sahihi ila kwa mtu kusema yeye mwenye ni tofauti naona kama umeweka jibu kiujumla jumla maana sio watu wote wenye informationa za kila kitu. kwa mafano unawea kujua mchumba wako anafanya kazi furahi lakini husijue anaingiza kiasi gani mpaka akwambie
 
Kumshirikisha ni muhimu ila inabidi uwe wa kiasi, sio kukurupuka na kujianika kwa kila kitu. Unaweza fanya hivyo akaku-dis au usifanye hivyo akakudis au mkaendelea kuwa pamoja. Yangu ndo hayo.
 
Hayo ni mambo ya mhimu but sometimes kuhusu kipato ishu inakuwa hapo,maana kuna wengine wapo relation kwa ajili anachovya vitu flani kutoka kwako.
 
Hapo kwenye kipato ni uamuzi wako
Mami lakini huko kwingine ni muhimu
Hakuna mipango yako yako tena ni mipango
Yenu maana kila ufanyacho kinamuhusu mumeo ...
 
Hapo kwenye kipato ni uamuzi wakoMami lakini huko kwingine ni muhimuHakuna mipango yako yako tena ni mipango Yenu maana kila ufanyacho kinamuhusu mumeo ...
Hivi mbona hujanijulisha mipango yako!!?!Ohh sorry i mean yetu!!We mtu kama unataka kutumia maisha yako pamoja nae utamfichaje mipango ya huko mbeleni?!
 
inategemeana
kwa mwanamke ni vizuri umwambie mwenzio kila kitu
kwa mwanaume ni vizuri baadhi ya mipango ikasubiri ndoa kwanza
ndo umweleze
 
inategemeanakwa mwanamke ni vizuri umwambie mwenzio kila kitukwa mwanaume ni vizuri baadhi ya mipango ikasubiri ndoa kwanzando umweleze
Kwanini mwanamke aeleze kila kitu kabla?!
 
Hivi mbona hujanijulisha mipango yako!!?!Ohh sorry i mean yetu!!We mtu kama unataka kutumia maisha yako pamoja nae utamfichaje mipango ya huko mbeleni?!

mhhhhhhhhhhhhhhh
kama mnapanga funga ndoa,itabidi muhame nchi kwanza
hakuna vibali hivyo bongo lol
 
Kwanini mwanamke aeleze kila kitu kabla?!

kwa sababu mipango mingi ya mwanamke huwa
inahitaji support ya mwanaume..

so huwezi panga nikusaidie kusomesha wadogo zako tisa
shule za english medium na vyuo bila kuniambia
uje unishtukize ndani ya ndoa....

ni mfano tu but mipango ambayo mwanaume atahitajika ku support
aambiwe mapema
 
Kwa hiyo wewe ukiwa na ndugu wa kusomesha, basi usimwambie..
Yaani umejenga picha kwamba mwanaume atakuwa na uwezo kiuchumi kuliko mwanamke..
 
Mie nafikiri kama mpo kwenye hatua za kuelekewa kufunga ndoa, maana yake kwenye uhusiano wenu mmefika mbali, na kila mmoja anajiona ni sehemu ya mwenzake..Kwa hiyo sioni ubaya kama akijua hali yako kiuchumi..Ni bora mtu aingie kwenye ndoa ajue nini kinaendelea, na wala sio kumshtukiza siku mnapoanza maisha..

Ni mawazo yangu
 
Kwa hiyo wewe ukiwa na ndugu wa kusomesha, basi usimwambie..
Yaani umejenga picha kwamba mwanaume atakuwa na uwezo kiuchumi kuliko mwanamke..

sio nimejenga picha
most of time inakuwa hivyo
 
Shoshte
Mimi nafikiri ni vizuri, kumshirikisha mwezio in all that you have listed , especially mambo ya pesa because hata hayo Malengo na mipango ya baadae in one way or another is dependant on your financial situations as a couple. Vitu kama where to live, how many kids to have,responsibilities na msaada kwa familia zenu and so forth vyote vinahitaji pesa
 
Hayo ni mambo ya mhimu but sometimes kuhusu kipato ishu inakuwa hapo,maana kuna wengine wapo relation kwa ajili anachovya vitu flani kutoka kwako.
Ni kweli ila hukumshirikisha mpaka mmefikia hatua ya kuwa wenza na tayari mipango ya ndoa inaendelea so ni kama nyie ni mme na mke
 
Poleni kwa majukumu mimi ni swali ta ufahamu kidogo
Una mchumba amabye mnategemea kufunga pingu za maisha mnaaminiana na mnapendana
mmeshamaliza kila kitu kilichobakia ni maaandalizi ya ndoa
je nivyema kumshirikikisha
1 kipato chako
2 mipango yako ya baadae
3 malengo yango
yaaaani kumuweka wazi kwa kila kitu bila kumficha hata chochote
Asanteni
Inategemea kama unaoa ili upate Bed Partner wa kukupa Company Kitandani au mwenza wa kuendesha maisha...,

In short inategemea na uelewa wa mwenza wako na msaada atakaokupa.., kama ana mawazo ya kujenga utakuwa hujitendei haki kutokumwambia sababu angeweza kukupa ushauri wa maana .., "Two Heads are Better than One"
 
Hivi mbona hujanijulisha mipango yako!!?!Ohh sorry i mean yetu!!We mtu kama unataka kutumia maisha yako pamoja nae utamfichaje mipango ya huko mbeleni?!
DuuuhhhhNimfiche halafu nini tu labdaMmhh mwenzangu naogopakunyimwa credit card ...
 
Back
Top Bottom