Kama unajua yeye ni nani lazima utajua majukumu yake na kutomshirikisha ni ujinga mkubwa,labda muwe mnafanya maigizo au muwe hamjui mnachokifanya!
Hivi mbona hujanijulisha mipango yako!!?!Ohh sorry i mean yetu!!We mtu kama unataka kutumia maisha yako pamoja nae utamfichaje mipango ya huko mbeleni?!Hapo kwenye kipato ni uamuzi wakoMami lakini huko kwingine ni muhimuHakuna mipango yako yako tena ni mipango Yenu maana kila ufanyacho kinamuhusu mumeo ...
Kwanini mwanamke aeleze kila kitu kabla?!inategemeanakwa mwanamke ni vizuri umwambie mwenzio kila kitukwa mwanaume ni vizuri baadhi ya mipango ikasubiri ndoa kwanzando umweleze
Hivi mbona hujanijulisha mipango yako!!?!Ohh sorry i mean yetu!!We mtu kama unataka kutumia maisha yako pamoja nae utamfichaje mipango ya huko mbeleni?!
Kwanini mwanamke aeleze kila kitu kabla?!
kwa sababu mipango mingi ya mwanamke huwa
inahitaji support ya mwanaume..
so huwezi panga nikusaidie kusomesha wadogo zako tisa
shule za english medium na vyuo bila kuniambia
uje unishtukize ndani ya ndoa....
ni mfano tu but mipango ambayo mwanaume atahitajika ku support
aambiwe mapema
Kwa hiyo wewe ukiwa na ndugu wa kusomesha, basi usimwambie..
Yaani umejenga picha kwamba mwanaume atakuwa na uwezo kiuchumi kuliko mwanamke..
Ni kweli ila hukumshirikisha mpaka mmefikia hatua ya kuwa wenza na tayari mipango ya ndoa inaendelea so ni kama nyie ni mme na mkeHayo ni mambo ya mhimu but sometimes kuhusu kipato ishu inakuwa hapo,maana kuna wengine wapo relation kwa ajili anachovya vitu flani kutoka kwako.
Inategemea kama unaoa ili upate Bed Partner wa kukupa Company Kitandani au mwenza wa kuendesha maisha...,Poleni kwa majukumu mimi ni swali ta ufahamu kidogo
Una mchumba amabye mnategemea kufunga pingu za maisha mnaaminiana na mnapendana
mmeshamaliza kila kitu kilichobakia ni maaandalizi ya ndoa
je nivyema kumshirikikisha
1 kipato chako
2 mipango yako ya baadae
3 malengo yango
yaaaani kumuweka wazi kwa kila kitu bila kumficha hata chochote
Asanteni
DuuuhhhhNimfiche halafu nini tu labdaMmhh mwenzangu naogopakunyimwa credit card ...Hivi mbona hujanijulisha mipango yako!!?!Ohh sorry i mean yetu!!We mtu kama unataka kutumia maisha yako pamoja nae utamfichaje mipango ya huko mbeleni?!