Je ni vyema kumshirikisha


Siku zote kama umeamua kuoa au kuolewa maana yake kifo ndio kitawatenganisha, kwa nini mnapooa au kuolewa mnafikiria mkiachana itakuaje? hiyo siyo maana ya ndoa, tupilia mbali mawazo hayo na mtaishi. (ni mtazamo wangu tu kwa wenye mapenzi ya dhati kwa wenza wao)
 
Ni kweli ila hukumshirikisha mpaka mmefikia hatua ya kuwa wenza na tayari mipango ya ndoa inaendelea so ni kama nyie ni mme na mke
Tukioana nitamshirikisha kila kitu,hata code za visa na mastercard nitampa
 
kwa mfano hujamshirikisha mwenzio kuwa unakipato cha kiasi fulani akaja akijua kaja kwa kibosire yaani labda kwa mwonekano wako labda
katika kuvaa kwako then akaja kujua labda mhh hapa hamna nilichokuwa nategemea sicho bora baada ya kufikia hatua fulani ya mahusiaono umeke wazi kwa kila kitu ili akiingia anajua anakutana na nini sio kutegemea makubwa kakuta hamna then aanze kujuta na hamtakuwa na ndoa ya amani
 

kumbe mkiolewa mnategemea makubwa hivyoo?
lol

saa wenye madogo je?wasioe???????
 
Hayo ni mambo ya awali kabisa kujua. Kama ni mimi kabla hatujaanza huo uchumba lazma niwe nishajua.
 
mambo ya kipat no mengine sawa
ni ukweli ulio wazi najua mtaruka lakini dada zetu mnapenda sana shillingi
bora kuijua shillingi umeshaingia lakini sio kabla inaweza kuwa shida
 
mambo ya kipat no mengine sawa
ni ukweli ulio wazi najua mtaruka lakini dada zetu mnapenda sana shillingi
bora kuijua shillingi umeshaingia lakini sio kabla inaweza kuwa shida
Vipi ikiwa mke wako ni expert wa Business na anajua biashara na money management kukuzidi ?
 
Mpaka tunafika huko kwenye uchumba nahisi nitakuwa nimejua kwa sehemu kipato chako. Labda uwe unaishi kwa kuigiza lakini ukishi ww nitajua tu.
 
well mpaka nimeamua kumshirikisha nimekuwa nikimtega kwa mambo mengi km kumpa hela bila yeye kuomba ili kutaka kujua anatumiaje kwa muda matokeo yake nimekuja kujua ile hela akitaka kutumia na nimempa lazima aniulize kwanza je hii hela nikitumia hivi itakuwaje
Kingine nimekuwa nikimzuga kuwa ok nimepata salary kiasi fulani yaaani yeye cha kwanza ananiambia kwanza tupange budget ya matumizi na akiba mimi namwambia tu nimwekwachia ufanye budget kama wewe yaani budget ikipangwa mwenyewe unaona mhhh hapa hata ingekuwa ni mimi ningeishia kwenda kuweka heshima bar ila yeye vitu vinaenda kwa priority ya umuhimu na emrgencies na akiba
 
mkuu unachoongea hapo n cha kwel, na uncle alìkuwa na pesa knoma mke wake akamfanyia "science" akaanza kuumwa kinoma, mke akakataa kumuuguza alipopata afuheni akampiga talaka, kipind hcho mume anauguzwa kad za bank anazo mke, aisee! Sitosahau baada miez 4 ya kuumwa bla kuchukua mshahara, nimenda nae bank tukakuta ana akiba ya 1700,huku mke kamuibia k4la k2 mumewe mpaka viatu,wakaachana, akaja hawala wa uncle ambye alisomeshwa na uncle tangu hyo hawala alikuwa kijana chuo cha ualimu, wameoana tunakuja kujua kumbe yule hawala kakubal kuolewa akijua uncle bdo yko njema, kumbe wapi, uncle hana kitu, mke mpya kazunguka bank zote mume hana ela y kueleweka matokeo yake visa haviishi. Yan yule mke mpya kusaidiwa kote kimaisha kusomeshwa mpk ana maisha yake mazur mwisho wa siko hana tena fadhila anaangalia pesa. Wakuu tenda wema uende zko kwa dunia ya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…