Mwitakesowani
Member
- Jul 24, 2012
- 94
- 29
Nilikutana na mpenz Wang cku za hatar. Awal alidai anackia dalili za mimba tulivopima hakukutwa nayo. Baadae mpenz Wang akanambie alinunua flag il akanywa masaa saba baada ya ten do kwa lengo LA kuzuia mimba kutungwa... kwa kwel ckumwelewa maana cjui kama flag il zina mahusiano na mimba. Wadau nauliza katika hil kuna ukwel?