Mwitakesowani
Member
- Jul 24, 2012
- 94
- 29
Kaka nataka kujua kama kuna ukwel koz swala limenichanganyaNI bora ujue zambi ya kuuwa kiumbe kwanza
Nilikutana na mpenz Wang cku za hatar. Awal alidai anackia dalili za mimba tulivopima hakukutwa nayo. Baadae mpenz Wang akanambie alinunua flag il akanywa masaa saba baada ya ten do kwa lengo LA kuzuia mimba kutungwa... kwa kwel ckumwelewa maana cjui kama flag il zina mahusiano na mimba. Wadau nauliza katika hil kuna ukwel?
Lengo la kufanya mapenzi na mpenzio tarehe za hatari lilikua ni nini???
Il apate mimbaoLengo la kufanya mapenzi na mpenzio tarehe za hatari lilikua ni nini???
True mwanakupata mtoto wao mzur
jaman mi swali langu ni sababu gani inayofanya kupitiliza hedhi kwa mwanamke kama hana mimba kipi kingine kinasababisha?plz msaada wenu