baada ya sex,sio wakati sahihi wa kujadili mambo mengi, bali ni muda wa kutulia na kusikilizia mmalizio wa tendo hilo.Hivyo ni vema wanandoa watafute muda mzuri preferably ambao sio wakati wa sex na kudiscuss mapungufu hayo na hata kupongezana. Bali kama ni mambo yanayohitaji maelezo kwa vitendo, yanaweza kujadiliwa hata kufanywa wakati hata baada ya tendo la ndoa.