yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
ABBASI TARIMBA KURUDI KUWA MWENYEKITI WA YANGA SC
Aliyekuwa mwenyekiti wa timu ya Yanga Sc na mwanzilishi wa wazo la Yanga kampuni, ndugu abbasi tarimba anaweza akarud tena kama Mwenyekiti wa Yanga Sc
Akihojiwa jana kwenye kituo cha clouds media kuhusu suala hilo alijibu 'nasikia, ni tafurahi na nitawashukuru Wanayanga kwa kuniona tena na nitalifanyia kazi hilo.
Ikumbukwe tarimba ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa mambo ya utawala katika kampuni la sport pesa, ndiye mwanzilishi wazo Yanga kampuni kitu ambacho kilipingwa vikali za baraza la wazee
Tarimba ni mwanamichezo mwenye maono ya mbali katika biashara ndiyo maana Wanayanga wengi wamekuwa wakimkumbuka sana baada ya manji kupata matatizo
Kama kweli atafanikiwa kuwa Mwenyekiti bila shaka Yanga itakwenda mbele.
Je nini maoni yako kuhusu hili?