Je, ni wakati sahihi kwa sasa kumrudisha Abbas Tarimba Yanga na kuendeleza ule mchakato wake wa Yanga Kampuni

yamindinda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
1,581
Reaction score
1,318
ABBASI TARIMBA KURUDI KUWA MWENYEKITI WA YANGA SC

Aliyekuwa mwenyekiti wa timu ya Yanga Sc na mwanzilishi wa wazo la Yanga kampuni, ndugu abbasi tarimba anaweza akarud tena kama Mwenyekiti wa Yanga Sc

Akihojiwa jana kwenye kituo cha clouds media kuhusu suala hilo alijibu 'nasikia, ni tafurahi na nitawashukuru Wanayanga kwa kuniona tena na nitalifanyia kazi hilo.

Ikumbukwe tarimba ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa mambo ya utawala katika kampuni la sport pesa, ndiye mwanzilishi wazo Yanga kampuni kitu ambacho kilipingwa vikali za baraza la wazee

Tarimba ni mwanamichezo mwenye maono ya mbali katika biashara ndiyo maana Wanayanga wengi wamekuwa wakimkumbuka sana baada ya manji kupata matatizo

Kama kweli atafanikiwa kuwa Mwenyekiti bila shaka Yanga itakwenda mbele.

Je nini maoni yako kuhusu hili?

 
Ni wakati sahihi kwa tarimba kuwa kiongozi wa Yanga ili aje kufanikisha idea yake ya miaka zaidi ya 10 iliyopita ya kuifanya Yanga iwe kampuni
 
Wazo la Yanga kuwa kampuni lilitolewa na Reginald Mengi wakati mwenyekiti akiwa George Mpondela.

Naweka rekodi clear tu.

Yanga ilikwama kwenda South Afrika kuvaana na Vaal Professional na ndipo Yanga wakaomba msaada kwa Mzee Mengi na al Wazo la Yanga kuwa kampuni lilitolewa na Reginald Mengi wakati mwenyekiti akiwa George Mpondela.

Naweka rekodi clear tu.

Yanga ilikwama kwenda South Afrika kuvaana na Vaal Professional na ndipo Yanga wakaomba msaada kwa Mzee Mengi na alWazo la Yanga kuwa kampuni lilitolewa na Reginald Mengi wakati mwenyekiti akiwa George Mpondela.

Naweka rekodi clear tu.

Yanga ilikwama kwenda South Afrika kuvaana na Vaal Professional na ndipo Yanga wakaomba msaada kwa Mzee Mengi na aliwapa tiketi 30 za ndege.
 

kuna tetesi kuwa kipindi kile cha mgogoro wa yanga asili na yanga kampuni mzee mengi aliitwa ili kusuluhisha mgogoro

matokeo yake wakiwa kwenye mkutano likatokea vurumai na mhuni mmoja akamfanyia mengi tendo la kihuni na tokea hpo naskia mengi hataki kuskia jambo lolote khs yanga hta kwenye usuluhishi akajitoa

je hii stori ina ukweli wowote?
 
Ni kweli mkuu, nakwambia ilikuwa tafrani. Laiti kama tungeamua mapema kuufuata ushauri wa mzee Mengi, Kimsingi Yanga tungekuwa level nyingine, Ila njaa za baadhi ya wanachama wanaotumia Yanga kuchumia vitumbo vyao ndiyo walikuwa Tatizo. Hadi sasa wanatusumbua haswaa. Hata kule kwa wenzetu waliotobolewa jana na Wana Nkurukumbi, wamekuwa wahanga wa tatizo hili. Yaani ni shidaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…