Je, ni wakati sahihi wachezaji wa Ulaya kutuachia AFCON yetu?

Mpira unahitaji nguvu na Akili vyote, ndio maana wachezaji wanaingia Gym kutengeneza misuli ya miguuni, mikono n.k hata hao Wajapan

Basically, Akili, Nguvu, Mbinu na Passion / Wining Spirit ndio vinaleta Ushindi Uwanjani.....

Pia kila eneo lina asili na aina yake ya kucheza mpira......

Mathalan Waholanzi wana aina yao ya kucheza wanaita (Totaal Voetball) kama wachezavyo Barcelona

Germans wao ni watu wa Counter attack pamoja na Italy

Asians wana styles zao originally

So jamaa yupo sahihi...cameroon ya mwaka 2000 mpaka 2007 sio hii ya sasa





I hope umeshacheza mpira
 
Kina Jay jay okocha ,Rashid Yekin,Mimboe,J Song'oo, Rigobet song ,Taribo west nk unawaweka wapi wale?
 
Ile ilikuwa na watu wa kazi kina Rigobert Song,Songoo,toure etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…