Kisheria na kikatiba, majeshi mengi duniani ikiwemo JWTZ yameundwa kulinda Katiba, mipaka ya nchi, na usalama wa wananchi. Serikali iliyopo madarakani ni msimamizi tu kwa niaba ya wananchi, lakini jeshi linabaki kuwa la taifa zima. Katiba mbovu ndio inayofanya JWTZ ionekane ni mali ya serikali.