mkalimani_mfaransa Member Joined Oct 7, 2022 Posts 5 Reaction score 3 Oct 8, 2023 #1 Hello habari wana jamvi, mimi ni mkazi wa dar-es-salaam. Nahitaji msaada wa kupata location za vyombo vya ndani vya mtumba kwa bei nafuu. natanguliza shukrani zangu kwenu. Asante!
Hello habari wana jamvi, mimi ni mkazi wa dar-es-salaam. Nahitaji msaada wa kupata location za vyombo vya ndani vya mtumba kwa bei nafuu. natanguliza shukrani zangu kwenu. Asante!
Makari hodari JF-Expert Member Joined May 17, 2022 Posts 3,339 Reaction score 6,666 Oct 8, 2023 #2 Fika kariakoo, ulizia mtaa ambao msikiti wa Qiblatain (Kibla-tein) unapatikana..., ukishafikishwa au kuelekezwa hapo ndo uulize wapi wanauza vyombo utakuwa umepata.
Fika kariakoo, ulizia mtaa ambao msikiti wa Qiblatain (Kibla-tein) unapatikana..., ukishafikishwa au kuelekezwa hapo ndo uulize wapi wanauza vyombo utakuwa umepata.
mkalimani_mfaransa Member Joined Oct 7, 2022 Posts 5 Reaction score 3 Oct 9, 2023 Thread starter #3 Hohehahe mtumainiye mungu said: Fika kariakoo, ulizia mtaa ambao msikiti wa Qiblatain (Kibla-tein) unapatikana..., ukishafikishwa au kuelekezwa hapo ndo uulize wapi wanauza vyombo utakuwa umepata. Click to expand... je ni vya mtumba boss. nauliza kwa sababu nahitaji vile vizito vya mtumba
Hohehahe mtumainiye mungu said: Fika kariakoo, ulizia mtaa ambao msikiti wa Qiblatain (Kibla-tein) unapatikana..., ukishafikishwa au kuelekezwa hapo ndo uulize wapi wanauza vyombo utakuwa umepata. Click to expand... je ni vya mtumba boss. nauliza kwa sababu nahitaji vile vizito vya mtumba
Makari hodari JF-Expert Member Joined May 17, 2022 Posts 3,339 Reaction score 6,666 Oct 9, 2023 #4 mkalimani_mfaransa said: je ni vya mtumba boss. nauliza kwa sababu nahitaji vile vizito vya mtumba Click to expand... Vyote vipo! Hujaenda tu inamana?!
mkalimani_mfaransa said: je ni vya mtumba boss. nauliza kwa sababu nahitaji vile vizito vya mtumba Click to expand... Vyote vipo! Hujaenda tu inamana?!