Je, ni wapi naweza kusoma Kozi ya Programming?

Je, ni wapi naweza kusoma Kozi ya Programming?

Status
Not open for further replies.

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Habarini wana JF, nimekuwa nikiwaza sana mahali gani nitasoma Programming hasa;
Webdesing, Android, IOS, Mac, Windows, App development, Game na mambo ya Software.

Ni muda gani nitatumia mpaka course kukamilika na ni wapi na kama ikiwezekana nijue na ada.

Nawasilisha.
 
Anzia online mkuu ndo ujue kwenda kwenye hzo course za ana kwa ana
 
Nenda kwenye forum kubwa kubwa kama Quora na hapa JF pia, wataalamu wapo watakusaidia tu.
 
Habarini wana Jf nimekua nikiwaza sana mahari gani nitasoma programming hasa
Webdesing
Android,ios,mac, windows app development
Game
Na mambo ya software
Ni muda gani nitatumia mpaka course kukamilika na niwapi na kama ikiwezekana nijue na ada
Nawasilisha
Kwa Android unaweza soma Kotlin kupitia Jetbrains academy bure kwa sasa. Baada ya hapo unasoma course za Udacity za kutengeneza Android apps.

1. JetBrains Academy: A hands-on platform for learning to program (Kotlin na Web development with JavaScript ni bure kwa sasa language zingine mpaka ulipie.

2. Developing Android apps with Kotlin: Udacity

3. Advanced Android with Kotlin: Udacity

Hvyo ulivyovitaja hapo ni vingi sana kuweza kuvisoma kwa wakati mmoja na kuvimaster. Anza na kimoja kimoja kwanza ndio utamaster.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeanza ila naona kama sijacover kila kitu alf hauwez kuulza swali ndio maan nahitaji kwenda college
Ukiwa na maswali uliza Stack overflow, Quora na Reddit kwenye subreddit za language husika au r/Programming or r/AskProgramming. Reddit ndio njia rahisi zaidi maana unapata majibu faster.

College za bongo hapa zinafundisha programming kwa wanafunzi wanaosoma course za Computer science na sijaona short course yoyote. Kma unataka hapo ni uchukue degree ya CompScience

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeanza ila naona kama sijacover kila kitu alf hauwez kuulza swali ndio maan nahitaji kwenda college
Pia kusoma online ni vizuri ukiwa na guideline (syllabus) ya nini kinahitajika. Ukisoma kupitia Youtube tu kuna vitu vingi utavikosa. Ukipata kitabu kinakua rahisi kufatilia nini kinahitajika maana watu wa youtube wana ruka ruka sana na hawakuelezei vizuri ukaelewa kma ni beginner.

Mm nasoma sshv kupitia Jetbrains academy na Udacity. Pia nna kitabu kinachonipa muongozo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi ntakipata hicho kitabu pls
Kitabu kinaitwa Android Apprentice by Darryl Bayliss. Kuna Kotlin Apprentice pia. Vyote vipo hapa: b-ok.africa bure kabisa.

Jetbrain academy pia wana model nzuri. Unakua na Project unayotakiwa kufanya. Kila stage wana kupa topics zinazohusu hyo project na kukupa exercises za kusolve code problems katika hyo topic. Unakua na map vitu vyote unavyotakiwa kusoma na ukivimaliza vinawekewa tick ndio unaweza kuendelea. Ukimaliza project moja unachagua nyingine nayo inakuwa na topics husika na exercies zake.

Screenshot 2021-02-26 at 11.20.53.png

Screenshot 2021-02-26 at 11.21.00.png

Screenshot 2021-02-26 at 11.21.44.png

Udacity pia wana lesson zinazokupa muongozo wa nini kinachohitajika step by step

Screenshot 2021-02-26 at 11.29.06.png

Pia kama mdau alivyosema kwamba DIT wana short course, ila sidhani kma zitakuwa zina dive deep zaidi ya kukupa introductions tu.

Best of luck katika safari yako.
 
Kwa ushauri wangu nenda chuo ukapate cheti tu ila ukitaka kuwa professional katika programming unatakiwa utafute vitabu mbalimbali uko google ambavyo ni best pia programming ni kitu cha kupractise sana unatakiwa ufanye wewe mwenyewe uandike izo program programming without practice ni nothing naamin ukiamua unaweza hata mimi nilianza kama wewe
 
Sawsaw mkuu
Na sio DIT tu kuna vi centre vingi like UCC na pia kuna jamaa wanaitwa power computers pale Sabodo house Posta (morogoro road-mwendokasi) kama upo dar...
The important thing is ukipat mwalimu ni vizur zaid kama huna kabisa background baadae sasa unaweza jiongez mwenyewe through online
 
Habarini wana Jf nimekua nikiwaza sana mahari gani nitasoma programming hasa
Webdesing
Android,ios,mac, windows app development
Game
Na mambo ya software
Ni muda gani nitatumia mpaka course kukamilika na niwapi na kama ikiwezekana nijue na ada
Nawasilisha
Karibu DIT mkuu alipo somaga JF Founder
 
Edx, Udemy, Youtube,Khan academy
search google mzee site za kusoma bure na kulipia acha kwenda College unapoteza mda ni bora usome online tu
 
Nenda kwenye forum kubwa kubwa kama Quora na hapa JF pia, wataalamu wapo watakusaidia tu.
Mkuu naongezea akajisajili stack overfrow na linkedin af maswali hata jf watu huwa wanajibu.Kuna mtu humu analotangazo la kufundisha programing alitafute mpaka alipate jamaa anafundisha kwa bei ndogo 20000.Chuoni sijushauri utaenda kumeza madesa vinginevyo utadisco.
 
Kwa ishu ya JAVA mtafute Y.Daniel liung. Huyo mchina ni mchawi wa kufundisha JAVA language, kama umewekeza muda ndani ya mwezi utaanza kuandika java program bila kutumia nguvu.Tafuta Head first java japo sijakikubali sana ila kinapendekezwa kwa self learner.
Tafuta learn java in 21 day,how to program by harvey daitel na video zake zipo youtube na ktk website yake.
Tembelea www3.com,Khan academy, BB.com,
 
Ya ushauri mzuri ila at least kwa maoni yangu Java ni dying language haina future

Thus why hata tech companies kama Google wali design new Language kama Kotlin au dart Ku replace tu Java

Nafikiri kabla hatuja recommend language ya kusoma kwa beginner ni vizuri kujua passion yake kwanza

Unaweza recommend 'C' kwa MTU anayetaka kuwa web designer

Au PHP wakati passion yake ni Machine Learning & AI

Personally sishauri apoteze mda wake na Java
 
Tena kama ni mtu ana mpango wa kutengeneza Android apps Java aachane nayo kabisa kwa sasa. Google wenyewe API zote wanazotoa sshvi zina deal na Kotlin kwa asilimia kubwa. Pia wanashift kwenda kwenye Jetpack compose ambayo ni full Kotlin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena kama ni mtu ana mpango wa kutengeneza Android apps Java aachane nayo kabisa kwa sasa. Google wenyewe API zote wanazotoa sshvi zina deal na Kotlin kwa asilimia kubwa. Pia wanashift kwenda kwenye Jetpack compose ambayo ni full Kotlin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kukazia Mzee.....hivi ndivyo tutakavyowaokoa newbies na junior devs na hii trap ya kutokwenda na Market

Wajue Programming ni investment Inayo hitaji mda na Patience so kichagua right tools for the job ndio kila kitu

Masikitiko Java bado inapewa nafasi kubwa vyuoni.....na bado inafundishwa bila 'kueleweka'

Ushauri wangu Fanya research yako mwenyewe ujue ni technology ipi ipo kwenye market na INA future..

Sio unasoma soma tu kwasababu ulisikia chuoni kuna kitu kinaitwa Java
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom