Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Kwa Android unaweza soma Kotlin kupitia Jetbrains academy bure kwa sasa. Baada ya hapo unasoma course za Udacity za kutengeneza Android apps.Habarini wana Jf nimekua nikiwaza sana mahari gani nitasoma programming hasa
Webdesing
Android,ios,mac, windows app development
Game
Na mambo ya software
Ni muda gani nitatumia mpaka course kukamilika na niwapi na kama ikiwezekana nijue na ada
Nawasilisha
Ukiwa na maswali uliza Stack overflow, Quora na Reddit kwenye subreddit za language husika au r/Programming or r/AskProgramming. Reddit ndio njia rahisi zaidi maana unapata majibu faster.Nimeanza ila naona kama sijacover kila kitu alf hauwez kuulza swali ndio maan nahitaji kwenda college
Pia kusoma online ni vizuri ukiwa na guideline (syllabus) ya nini kinahitajika. Ukisoma kupitia Youtube tu kuna vitu vingi utavikosa. Ukipata kitabu kinakua rahisi kufatilia nini kinahitajika maana watu wa youtube wana ruka ruka sana na hawakuelezei vizuri ukaelewa kma ni beginner.Nimeanza ila naona kama sijacover kila kitu alf hauwez kuulza swali ndio maan nahitaji kwenda college
Kitabu kinaitwa Android Apprentice by Darryl Bayliss. Kuna Kotlin Apprentice pia. Vyote vipo hapa: b-ok.africa bure kabisa.Wapi ntakipata hicho kitabu pls
Na sio DIT tu kuna vi centre vingi like UCC na pia kuna jamaa wanaitwa power computers pale Sabodo house Posta (morogoro road-mwendokasi) kama upo dar...Sawsaw mkuu
Karibu DIT mkuu alipo somaga JF FounderHabarini wana Jf nimekua nikiwaza sana mahari gani nitasoma programming hasa
Webdesing
Android,ios,mac, windows app development
Game
Na mambo ya software
Ni muda gani nitatumia mpaka course kukamilika na niwapi na kama ikiwezekana nijue na ada
Nawasilisha
College utapoteza Mda...Nimeanza ila naona kama sijacover kila kitu alf hauwez kuulza swali ndio maan nahitaji kwenda college
Mkuu naongezea akajisajili stack overfrow na linkedin af maswali hata jf watu huwa wanajibu.Kuna mtu humu analotangazo la kufundisha programing alitafute mpaka alipate jamaa anafundisha kwa bei ndogo 20000.Chuoni sijushauri utaenda kumeza madesa vinginevyo utadisco.Nenda kwenye forum kubwa kubwa kama Quora na hapa JF pia, wataalamu wapo watakusaidia tu.
Ya ushauri mzuri ila at least kwa maoni yangu Java ni dying language haina futureKwa ishu ya JAVA mtafute Y.Daniel liung. Huyo mchina ni mchawi wa kufundisha JAVA language, kama umewekeza muda ndani ya mwezi utaanza kuandika java program bila kutumia nguvu.Tafuta Head first java japo sijakikubali sana ila kinapendekezwa kwa self learner.
Tafuta learn java in 21 day,how to program by harvey daitel na video zake zipo youtube na ktk website yake.
Tembelea www3.com,Khan academy, BB.com,
Tena kama ni mtu ana mpango wa kutengeneza Android apps Java aachane nayo kabisa kwa sasa. Google wenyewe API zote wanazotoa sshvi zina deal na Kotlin kwa asilimia kubwa. Pia wanashift kwenda kwenye Jetpack compose ambayo ni full Kotlin.Ya ushauri mzuri ila at least kwa maoni yangu Java ni dying language haina future
Thus why hata tech companies kama Google wali design new Language kama Kotlin au dart Ku replace tu Java
Nafikiri kabla hatuja recommend language ya kusoma kwa beginner ni vizuri kujua passion yake kwanza
Unaweza recommend 'C' kwa MTU anayetaka kuwa web designer
Au PHP wakati passion yake ni Machine Learning & AI
Personally sishauri apoteze mda wake na Java
Asante kwa kukazia Mzee.....hivi ndivyo tutakavyowaokoa newbies na junior devs na hii trap ya kutokwenda na MarketTena kama ni mtu ana mpango wa kutengeneza Android apps Java aachane nayo kabisa kwa sasa. Google wenyewe API zote wanazotoa sshvi zina deal na Kotlin kwa asilimia kubwa. Pia wanashift kwenda kwenye Jetpack compose ambayo ni full Kotlin.
Sent using Jamii Forums mobile app