Je, ni wapi wanapatikana dealers wa spare za Pikipiki aina ya Mahindra?

Je, ni wapi wanapatikana dealers wa spare za Pikipiki aina ya Mahindra?

EGF

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
387
Reaction score
986
Habarini wana jamvi,

Naomba msaada wenu kujuzwa ni wapi naweza kupata spare za pikipiki aina ya mahindra. Kwangu imekua changamoto kupata spare za pikipiki hii hivyo kwa yeyote ambae anaweza kua anajua zinapopatikana tafadhari nielekeze... [emoji1317][emoji1317]

IMG_0520.JPG
 
Mm mwenyewe ninayo spare nyingi huwa natumia za honda 110 ,pamoja na boxer zinaingiliana
 
Mm mwenyewe ninayo spare nyingi huwa natumia za honda 110 ,pamoja na boxer zinaingiliana

Nahitaji coil ya mahindra vipi zinaweza kuingiliana na pikipiki gani?
 
Back
Top Bottom