EGF JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 387 Reaction score 986 May 20, 2020 #1 Habarini wana jamvi, Naomba msaada wenu kujuzwa ni wapi naweza kupata spare za pikipiki aina ya mahindra. Kwangu imekua changamoto kupata spare za pikipiki hii hivyo kwa yeyote ambae anaweza kua anajua zinapopatikana tafadhari nielekeze... [emoji1317][emoji1317]
Habarini wana jamvi, Naomba msaada wenu kujuzwa ni wapi naweza kupata spare za pikipiki aina ya mahindra. Kwangu imekua changamoto kupata spare za pikipiki hii hivyo kwa yeyote ambae anaweza kua anajua zinapopatikana tafadhari nielekeze... [emoji1317][emoji1317]
KANYEGELO JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,238 Reaction score 4,885 Jun 14, 2020 #2 Mm mwenyewe ninayo spare nyingi huwa natumia za honda 110 ,pamoja na boxer zinaingiliana
EGF JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 387 Reaction score 986 Jun 14, 2020 Thread starter #3 KANYEGELO said: Mm mwenyewe ninayo spare nyingi huwa natumia za honda 110 ,pamoja na boxer zinaingiliana Click to expand... Nahitaji coil ya mahindra vipi zinaweza kuingiliana na pikipiki gani?
KANYEGELO said: Mm mwenyewe ninayo spare nyingi huwa natumia za honda 110 ,pamoja na boxer zinaingiliana Click to expand... Nahitaji coil ya mahindra vipi zinaweza kuingiliana na pikipiki gani?