Je, ni watanzania wangapi wamepanda Mlima Kilimanjaro

Captain-Sparta

Senior Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
175
Reaction score
172
Kama kichwa cha habar kinavojieleza hapo
Je ni watanzania wangap ambao wamechukua hatua ya kutalii kwa maana ya kupanda mlima kilimanjaro kama part ya adventure na kivutio.
Watanzania tuna moyo wa kutembelea vivutio vyetu compared na wenzetu wanaotoka nchi za nnje.
Binafsi mimi mlima kilimanjaro nimepanda sio chini ya mara 10.
Karibun wadau.
 
Watu wana njaa hali ngumu hawajui wanalipaje kodi wala wanakula nini, ada za watoto zimekaba watapata wapi pesa ya kwenda mbugani.
Kwanza mtu anaona amalizane na mambo ya msingi na pesa bado haitoshi haweI fikiria kutenga 50,000 kwa ajili ya kwenda mbugani wala mlimani.
 
Mentality yetu sisi watanzania ni tofauti sana na ya wenzetu wa ulaya na marekani kuhusu utalii na namna ya kupumzika.Nimewasikia rafiki zangu wakiuliza: "Ntapata nini nikipanda huo mlima?" Kwa namna wanavyouliza nashindwaga kuwajibu, nanyamaza.
 
Wewe ni tour guide au umepanda mara 10 kwa kutalii tu.
 
Watu wana njaa hali ngumu hawajui wanalipaje kodi wala wanakula nini, ada za watoto zimekaba watapata wapi pesa ya kwenda mbugani.
Kwanza mtu anaona amalizane na mambo ya msingi na pesa bado haitoshi haweI fikiria kutenga 50,000 kwa ajili ya kwenda mbugani wala mlimani.
Sasa ww kama unawaza kodi unataka nami niwaze unachowaza mkuu ww pambana na kodi acha mi nitalii
 
Watu wana njaa hali ngumu hawajui wanalipaje kodi wala wanakula nini, ada za watoto zimekaba watapata wapi pesa ya kwenda mbugani.
Kwanza mtu anaona amalizane na mambo ya msingi na pesa bado haitoshi haweI fikiria kutenga 50,000 kwa ajili ya kwenda mbugani wala mlimani.
Kwa hiyo wewe ndo msemaji wa wallet za watu?
 
Tuwekee hata cost projections kidogo mkuu ili tuweze kuji assess wenyewe.
Umeongea la msingi, ilitakiwa aweke cost kwa mtu anayetoka mkoa kuanzia kula, kulala hapo arusha na kadhalika ili watau wajue kama wanaweza kuafford ama laah kuliko kupost just bila maelezo kamili, watu sio kama hawapendi kutalii ili vitu havipo wazi vingi
 
Mkuu gharama zote za kupanda mlima Kilimanjaro ni Tsh ngapi kwa makadirio...(kama nipo Arusha)
Ada ya kuingia Entrance Fee Tshs 10,000/= kila siku x siku angalau 5, camping fee Tshs 5,000/= kwa usiku, rescue fee Tshs 2,000/= kwa trip, Mpishi/porter Tshs 20,000 kwa siku na utahitaji angalau porters watatu na guide mmoja, chakula Tshs 30,000 kwa siku, nguo maalumu angalau Tshs 60,000 kwa trip, kwa vile lazima upande na kampuni utailipa hiyo kampuni. Gharama za usafiri na malazi ukiwa Moshi. Gharama zinapungua ukiwa katika kikundi. Hivyo ni kazi ngumu kidogo.
 
Anhaa sawa nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom