Captain-Sparta
Senior Member
- Sep 9, 2016
- 175
- 172
Kama uko arusha inategemea na siku unazokaa mkuu na kama vifaa vyote unavyo au unasaidia na kampuniMkuu gharama zote za kupanda mlima Kilimanjaro ni Tsh ngapi kwa makadirio...(kama nipo Arusha)
Sasa ww kama unawaza kodi unataka nami niwaze unachowaza mkuu ww pambana na kodi acha mi nitaliiWatu wana njaa hali ngumu hawajui wanalipaje kodi wala wanakula nini, ada za watoto zimekaba watapata wapi pesa ya kwenda mbugani.
Kwanza mtu anaona amalizane na mambo ya msingi na pesa bado haitoshi haweI fikiria kutenga 50,000 kwa ajili ya kwenda mbugani wala mlimani.
Kwa hiyo wewe ndo msemaji wa wallet za watu?Watu wana njaa hali ngumu hawajui wanalipaje kodi wala wanakula nini, ada za watoto zimekaba watapata wapi pesa ya kwenda mbugani.
Kwanza mtu anaona amalizane na mambo ya msingi na pesa bado haitoshi haweI fikiria kutenga 50,000 kwa ajili ya kwenda mbugani wala mlimani.
Tuwekee hata cost projections kidogo mkuu ili tuweze kuji assess wenyewe.Kama uko arusha inategemea na siku unazokaa mkuu na kama vifaa vyote unavyo au unasaidia na kampuni
Umeongea la msingi, ilitakiwa aweke cost kwa mtu anayetoka mkoa kuanzia kula, kulala hapo arusha na kadhalika ili watau wajue kama wanaweza kuafford ama laah kuliko kupost just bila maelezo kamili, watu sio kama hawapendi kutalii ili vitu havipo wazi vingiTuwekee hata cost projections kidogo mkuu ili tuweze kuji assess wenyewe.
Ada ya kuingia Entrance Fee Tshs 10,000/= kila siku x siku angalau 5, camping fee Tshs 5,000/= kwa usiku, rescue fee Tshs 2,000/= kwa trip, Mpishi/porter Tshs 20,000 kwa siku na utahitaji angalau porters watatu na guide mmoja, chakula Tshs 30,000 kwa siku, nguo maalumu angalau Tshs 60,000 kwa trip, kwa vile lazima upande na kampuni utailipa hiyo kampuni. Gharama za usafiri na malazi ukiwa Moshi. Gharama zinapungua ukiwa katika kikundi. Hivyo ni kazi ngumu kidogo.Mkuu gharama zote za kupanda mlima Kilimanjaro ni Tsh ngapi kwa makadirio...(kama nipo Arusha)
Anhaa sawa nimekupata mkuuAda ya kuingia Entrance Fee Tshs 10,000/= kila siku x siku angalau 5, camping fee Tshs 5,000/= kwa usiku, rescue fee Tshs 2,000/= kwa trip, Mpishi/porter Tshs 20,000 kwa siku na utahitaji angalau porters watatu na guide mmoja, chakula Tshs 30,000 kwa siku, nguo maalumu angalau Tshs 60,000 kwa trip, kwa vile lazima upande na kampuni utailipa hiyo kampuni. Gharama za usafiri na malazi ukiwa Moshi. Gharama zinapungua ukiwa katika kikundi. Hivyo ni kazi ngumu kidogo.
sawa bossKama uko arusha inategemea na siku unazokaa mkuu na kama vifaa vyote unavyo au unasaidia na kampuni