Acha dhambi mkuuKibakuri salome
duh...sasa mkuu Ngoswe ni mambo ya hadithi mkuu.Ngoswe - kwasababu aliagizwa akahesabu watu ila penzi lake kwa Mazoea likamponza.
Acha utotoKibakuri salome
Ni ya hadithi ya kweliduh...sasa mkuu Ngoswe ni mambo ya hadithi mkuu.
Naishi kijijini mkuuMkùu kwani unaishi wapi? Maana nimeielezea nikiacha details maana watu wengi wanaifahamu..
Kivuyo amefnya nin mkuu?Jecha na hemedi kivuyo
hahaha, kitwanga, mzee wa bapa kule kibangu, Mungu anawajua walio wake, na wale wasio wake hata wakijifanya huwa anawaengua na wanaishia aibu. huwezi kuigiza mambo ya Kimungu.pamoja na kwamba ameuaibisha ukristo na walokole sana, lakini Muumba kaamua magugu yakae pembeni kwasababu ameyachoka.kukusanya kundi la watu wanaoamini wanaenda mbinguni kumbe wanateremka jehanum kuna faida gani?bora kiongozi wao awekwe peupe tu kwa faida ya wengine waliotaka kumfuata.Kitwanga sababu ya gambe.
Kitwanga ni tofauti na Lusekelo Mkuu.hahaha, kitwanga, mzee wa bapa kule kibangu, Mungu anawajua walio wake, na wale wasio wake hata wakijifanya huwa anawaengua na wanaishia aibu. huwezi kuigiza mambo ya Kimungu.pamoja na kwamba ameuaibisha ukristo na walokole sana, lakini Muumba kaamua magugu yakae pembeni kwasababu ameyachoka.kukusanya kundi la watu wanaoamini wanaenda mbinguni kumbe wanateremka jehanum kuna faida gani?bora kiongozi wao awekwe peupe tu kwa faida ya wengine waliotaka kumfuata.
utofauti wake nini, labda mmoja kupiga bapa na mwingine serengeti au?Kitwanga ni tofauti na Lusekelo Mkuu.