Je, ni watu Gani Maarufu walioharibu fani zao au Maisha yao kwasababu Ya uzembe

Kaka acha tu, Boban nilimuona akiwa na Moro United, aiseeee, acha kabisa. Na baadae akahamia SIMBA, aisee! Kile kiwango ungeweza kukataa kama ni Mtanzania.
Dah acha tu kaka naweza kumfananisha uchezaji wake kama kina modric hiv, ozil alikua ni attacking midfielder mzurii sanaa, kama unakumbuka ile game tz ba burkina faso kipnd cha maximo alipga mpira mkubwaa sanaaa utasema hachezi vodacom premier league ila uzembe wakee na nidhamu mbovu imeharibu maisha yakeee yotee
 
Boban aliujua Mpira. Mpira ukamjua Boban. Mpira ukawa unamtii Boban kwa kila alichotaka kufanya!
 
Faru John aliendekeza ngono kule kwenye hifadhi mwisho akatoweka kama Ben Sanane maana hata kaburi lake hakuna ...

Dah!!!Nimechanganya mada kumbe hapa ni watu waliokuwa maarufu mimi naleta habari za mnyama tena.

Ngoja niitafute then nitarudi tena.
 
huwez kuwa mzima lazima upo nusunusu
 
Boban aliujua Mpira. Mpira ukamjua Boban. Mpira ukawa unamtii Boban kwa kila alichotaka kufanya!
Hakuna alichokuwa anajua zaidi ya kuvuta bange.Mbona hammtaji Ramadhan Chombo,redondo au Athman Iddy Chuji?
 
yapi yamempata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…