Lasway.Jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 233
- 413
Kwa muda mrefu tumekuwa tukishughudia wakulima wengi wa greenhouse wakipata hasara au kutokupata mavuno bora kama walivyotegemea, kuendelea kutumia madawa ya kuuwa wadudu kwa kiasi kikubwa kama wanalima nje, joto kuwa kali ndani ya banda na kuharibu mazao, yaani wengi wamekata tamaa na kuzitelekeza greenhouse zao huko mashambani.
Lakini pia wapo wakulima wengine wamenufaika na wanaendelea kunufaika na teknolojia ya greenhouse walianza na chache ila kutokana na faida zake kila mwaka wanaongeza mabanda mengine na hata wengine wameacha kazi zao nyingine wanafanya kilimo tu na maisha yao safi sana.
Sasa hapa tufahamishane. Wale wanaopata hasara waeleze changamoto zao wasaidike na wale wanaopata faida basi waeleze mbinu zao kidogo hapa watu tupate elimu na maarifa zaidi.