Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Hivi kuna uwezekano wanaompa support Ali Kiba wanataka kumshusha Diamond?, Kwenye hizi team nimeona sana team kiba wanafatilia sana habari na maisha ya Diamond, Kuna uwezekano mkubwa sana labda hawa baadhi ya team kiba walikuwa wanamkubali sana Diamond ila alivyoanza kupata mafanikio makubwa walichukia sana na hivyo wakaona watumie karata ya Ali Kiba ili wajaribu kumshusha Diamond,
JE KUNA UWEZEKANO WA KUWEPO HILI JAMBO
JE KUNA UWEZEKANO WA KUWEPO HILI JAMBO