Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

Kuwa makini lisije likakulipukia bomu ukaja kujuta baadae.
 
Kumbuka umelelewa kwenye mazingira ya kikistro kuwa mke wa pili kwa dini tofauti kuwa makini.
Usije ukapata hayo baadae.
 
Kwanza mrejrsho.
 
Kuoa na kuolewa ni kubahatisha. Jifanye unajua kupembua mwisho uwe single mother
 
Mwanaume gani akupe hela ya pipa akulipie hotel then asikunenge wap na wap.... Dada punguza ucheche Kaa tulia mwanaume sahihi huja kwa waliosahihi yaani wewe unawanaume kalibu wanne then unataka mme Bora wap na wap... Mungu awezi mtupa mme sahihi kwa mke asie sahihi
 
Kwa kweli nimeumia moyoni kuona jinsi wanaume tunavyopangwa.
Halafu unakuja ao mke kama huyu maex 100 kidg wengine wameachana na wengine hawajatamkiana kuachana kweli wanaume lile swala la kuoa bikra naona Lina make sense.... Wanawake ni hovyoo kabisa kama huyu hajui yupi ni yupi
 
Ndio sisi tupo hutaki baki single
 
Nipo single sasa nasubiri sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…