Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

Frank kakuita Dar,hujui anataka kukwambia Nini,kwa Nini usiende???Mtoto mdogo kujidai kukimbilia ndoa uolewe mke wa Pili,wewe una wazimu Nini!!!Nenda kamsikilize Frank alichokuitia,acha kujishaua

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] et una wazimu

Aisee ngoja niendee
 
Binti jitulize..upweke wa sasa usijekua majuto ya baadae
 

Njoo kwangu mimi nizaidi ya hao wote
 
Punguza/ acha umalaya
 
Olewa na Salim ukafue majeans
 
Kwamba utume nauli ya pipa mtu aishie kukuona tuu...? Kwamba miaka yote hakuna aliekula mzigo....😀😀😀
 
Wakubali wote, kua nao wote, maisha yaenyewe mafui haya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…