Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

Kwamba utume nauli ya pipa mtu aishie kukuona tuu...? Kwamba miaka yote hakuna aliekula mzigo....[emoji3][emoji3][emoji3]

Vijana wa kimasikhara hawaamini [emoji1787]
 
Pole sana
Ila wewe ni kijimalaya tu kidogo
sema haujijui!
mara unakwea pipa
mara unakiss tu!
mtu akutumie hela zake then uende kumkiss tu?
Aisee
anyway shida ni umri wako!
ONGEZA BIDII
hata hao akina Wema nao walianza hivyo hivyo!
KOMAA TU

[emoji2][emoji2]aya
 
Mmh Kwamba toka July 22 hujapata maamuzi kamili ? Labda niwe wazi na niseme kuwa wewe tayari unampenda Salim na unamaamuzi yako tayari unachofanya ni kukamilisha tu unachokifikria ili ujue kama unakosea au uko sahihi ujue.
Mwisho nikuambie japo unaweza usinielewe vizuri ila ndio hivyo, piga chini wote wawili si salim wala Frank..! Kama unataka nikufafanulie utanambia
 
Haha ananiitaga dada siku ingine

How boring he is [emoji13][emoji13]
Ila mambo kama haya yanarekebishika, ni kuelekezana tu.
It seems unamchukulia poa ila ukifikisha miaka 30 utatamani awe mumeo hata kama atakuwa hayuko romantic hadi anakuita shangazi.
 

Hapo kwenye Note nina wasiwasi anyway tuyaache hayo. Waache wote njoo nikuoe mimi ambaye sina mke kama Salim na sitaki kusubiri kama Frank
 
Tulia mdogo angu/ binti yangu.
Kwanza usigawe mbususu kwa yeyote Hadi ndoa,endelea kujitunza.

Usikubali kuwa mke wa pili,ongea na Frank muulize plainly kuwa Ana mpango gani na wewe,km hana mpango wa ndoa vuta subira Ila usijichafue vazi lako la wokovu.
Soon utapata the right man.
Kuwa makini waweza zalishwa na kuachwa hapo
 
SEMA wewe ushabanduliwa sana unataka tu vimbwenko wa huku nao wakutokee wakidhani we ni sealed

Kumbe bwabwai cheeee
 
Kubabeki kumbe ndo unachonifanyi at
 
Yaani Mtu anaitwa Salimu bado unataka kurudi kwake

Utakuwa una laana[emoji10]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…