Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
ongeza MAELEZO. Eneo ni kiwanja kilichowazi au kinakaliwa na serikaliWadau Wanasheria naomba msaada wenu juu ya hatua za kuichukulia Halmashauri iliyokataa kutekeleza HUKUMU ya MAHAKAMA KUU ya Mgogoro wa kiwanja.
Baada ya Kushinda Kesi nilimwandikia Mkurugenzi wa Manispaa juu ya Ushindi wa Kesi ya Ardhi na kuambatanisha Nakala ya Hukumu lakini Sikujibiwa hiyo barua na hakuna Utekelezaji wowote uliofanyika mpaka leo.Je Wanasheria ni HATUA zipi natakiwa Kumchukukia huyo MKURUGENZI wa Manispaa ili Atekeleze HUKUMU iliyotolewa?
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Kazia Hukumu.Wadau Wanasheria naomba msaada wenu juu ya hatua za kuichukulia Halmashauri iliyokataa kutekeleza HUKUMU ya MAHAKAMA KUU ya Mgogoro wa kiwanja.
Baada ya Kushinda Kesi nilimwandikia Mkurugenzi wa Manispaa juu ya Ushindi wa Kesi ya Ardhi na kuambatanisha Nakala ya Hukumu lakini Sikujibiwa hiyo barua na hakuna Utekelezaji wowote uliofanyika mpaka leo.Je Wanasheria ni HATUA zipi natakiwa Kumchukukia huyo MKURUGENZI wa Manispaa ili Atekeleze HUKUMU iliyotolewa?
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Rudi mahakamani ukakazie hukumu.Wadau Wanasheria naomba msaada wenu juu ya hatua za kuichukulia Halmashauri iliyokataa kutekeleza HUKUMU ya MAHAKAMA KUU ya Mgogoro wa kiwanja.
Baada ya Kushinda Kesi nilimwandikia Mkurugenzi wa Manispaa juu ya Ushindi wa Kesi ya Ardhi na kuambatanisha Nakala ya Hukumu lakini Sikujibiwa hiyo barua na hakuna Utekelezaji wowote uliofanyika mpaka leo.Je Wanasheria ni HATUA zipi natakiwa Kumchukukia huyo MKURUGENZI wa Manispaa ili Atekeleze HUKUMU iliyotolewa?
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Kazia Hukumu.
Aidha, kwa kuwa umedai kwamba Kesi hiyo ilikuwa inasikilizwa Mahakama Kuu (Divisheni ya Ardhi), ni vyema ukabatisha na nakala ya Hukumu ya Kesi ili wajuvi waweze kukushauri vizuri. Au taja namba ya Kesi hiyo ili wajuvi waweze kufanya perusal wao wenyewe kwenye mtandao wa Tanzlii au kwenye kumbukumbu za Mahakama.
in a hard way sioKama mahakama imeshatoa hukumu we endelea na shughuki zako tu hapo Kiwanjani, waache halmashauri wao ndo watafute msaada wa kisheria
Kiwanja sahihi bali kuna mvamivi anadai fidia na mahakama imesema Manispaa imlipe fidia na mimi niendelee na kile kiwanja kwani nimekipata halal na hati ni halaliongeza MAELEZO. Eneo ni kiwanja kilichowazi au kinakaliwa na serikali
Sasa kesi ishaa aamuriwa huko Mahakamani, wwe unataka afichefiche nini sasa!!?? Nyinyi watu wa siri siri ndiyo wapigaji wakubwa! Jambo lazima liwekwe wazi ili wenye uwezo wa kusaidia wasaidie hata kwa mawazo ili mtu apate haki yake! Kuzulumiwa haki yako maumivu yasikie kwa mwenzio, usiombe yakukute,hata kama wwe ni mjuzi wa sheria utalia!!Rudi mahakamani ukakazie hukumu.
Pia tafuta wakili akuongoze maana unavyoianika hii ishu hapa unawapa nafasi watesi wako wajipange
Ulishawahi kuwa na akili?Sasa kesi ishaa aamuriwa huko Mahakamani, wwe unataka afichefiche nini sasa!!?? Nyinyi watu wa siri siri ndiyo wapigaji wakubwa! Jambo lazima liwekwe wazi ili wenye uwezo wa kusaidia wasaidie hata kwa mawazo ili mtu apate haki yake! Kuzulumiwa haki yako maumivu yasikie kwa mwenzio, usiombe yakukute,hata kama wwe ni mjuzi wa sheria utalia!!