Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Hamna 1ZZ-FE ya kwenda 14km/l labda hizi zenye mfumo wa Valvematic ambazo zinaitwa 2ZR-FE pengine. Ila wishi Old ikiwa kwenye ubora wake Highway itakupa 12.4KM/L ...towntrips inakupa 8.8KM/L ...Hivi ni vipimo vinafanyikaga standard provided na AC ina run. Kwahio utaona Wastani wa mjini ni 8KM/L safarini 12KM/L. Ila Economy huathirika overtime esp ukiwa na Bad Plugs, O2 Sensor, Fuel filter, Air filter, Dirty Throttle body.
Looh najiona nahitaji kwenda shule ya makenika.
Napenda sana magari na napenda sana niwe nafahamu technical issues na namna ya kutatua hayo matatizo ya gari.
Kuna muda huwa najiwaza, what if I be a fundi gari halafu sibahatishi. Mteja akitoka na gari kwangu anatembea kwa madaha kama ametoka kupiga bao kwa mchepuko .....π π π πππ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Fikra za bi. Kasinde.