Je, nifanyaje niweze kujiunga na NSSF APP?

Je, nifanyaje niweze kujiunga na NSSF APP?

ABBM

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2021
Posts
428
Reaction score
782
Mimi ni mwanachama wa NSSF ninayehitaji kujiunga na NSSF APP tatizo namba zangu wanasema hazihusiani na kadi je nifanyaje?

Kingine naweza fanya kazi nje ya nchi na kuweza kuendelea kuchangia?
 
ili uweze tumia app ya nssf bila usumbufu
Nenda ofisin kwao ukamuone mtu wa registration ili afanye Ku update taarifa zako Kweny mfumo wa nssf hapo ata update namba ya simu na email yako

Kama huna ajira unaweza jiunga nssf kwa kupitia NSSF Hiyari
 
NSSF ni WAPUMBAVU sana,mtu una pesa yako hawataki kukupa eti mpaka ufikishe miaka 55,wao ni Miungu mpaka watutake tufike miaka 55??mapuuzi sana
 
Back
Top Bottom