A ABBM JF-Expert Member Joined Apr 24, 2021 Posts 428 Reaction score 782 Aug 2, 2024 #1 Mimi ni mwanachama wa NSSF ninayehitaji kujiunga na NSSF APP tatizo namba zangu wanasema hazihusiani na kadi je nifanyaje? Kingine naweza fanya kazi nje ya nchi na kuweza kuendelea kuchangia?
Mimi ni mwanachama wa NSSF ninayehitaji kujiunga na NSSF APP tatizo namba zangu wanasema hazihusiani na kadi je nifanyaje? Kingine naweza fanya kazi nje ya nchi na kuweza kuendelea kuchangia?
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 729 Reaction score 555 Aug 2, 2024 #2 ili uweze tumia app ya nssf bila usumbufu Nenda ofisin kwao ukamuone mtu wa registration ili afanye Ku update taarifa zako Kweny mfumo wa nssf hapo ata update namba ya simu na email yako Kama huna ajira unaweza jiunga nssf kwa kupitia NSSF Hiyari
ili uweze tumia app ya nssf bila usumbufu Nenda ofisin kwao ukamuone mtu wa registration ili afanye Ku update taarifa zako Kweny mfumo wa nssf hapo ata update namba ya simu na email yako Kama huna ajira unaweza jiunga nssf kwa kupitia NSSF Hiyari
M mwanadodoma JF-Expert Member Joined Mar 12, 2024 Posts 344 Reaction score 653 Aug 3, 2024 #3 NSSF ni WAPUMBAVU sana,mtu una pesa yako hawataki kukupa eti mpaka ufikishe miaka 55,wao ni Miungu mpaka watutake tufike miaka 55??mapuuzi sana
NSSF ni WAPUMBAVU sana,mtu una pesa yako hawataki kukupa eti mpaka ufikishe miaka 55,wao ni Miungu mpaka watutake tufike miaka 55??mapuuzi sana