Je, nifanyaje?

Nisaidieni nikubwa na hili tatizo la majina katika helb View attachment 3056641
Nilitaka kucomment kuhusu utoaji was taarifa zako muhimu mtandaoni kwa kuhoji utashi wako juu ya hili,lakini baada ya Kuona Mwaka wako wa kuzaliwa ni 2002 nimeona siyo busara kufanya hivyo kwani bado hujafikia kujipambanua.
Turudi katika ushauri;
Aliyekosea majina siyo HESLB ni wewe mwenyewe na Benki yako,kwani HESLB wanatumia namba yako ya NIDA basi moja kwa moja mfumo wao unaupload data kutoka NIDA.
Hivyo unachotakiwa kufanya ni kwenda kwa Wakili kuandaliwa DEED POLL ambayo ukishakamilisha mchakato wake itabidi uende katika Benki ambayo ulifungua akaunti yako Ili waweze kubadilisha majina yako yaweze kufanana na yaliyo katika mfumo wa NIDA na baada ya halo utarudi katika Mfumo wa HESLB kufanya editing/update taarifa zako Kama kuna Options hizo,Kama hakuna itabidi uwasiliane nao kwa taratibu zaidi.
Wakati Mwingine jitahidi kuwa making Sana katika Uandishi wa Majina yako.
Kila LA kheri na pole kwa changamoto.
 
Asante
 
Hili tatizo ni kati ya cheti cha kuzaliwa na vyeti vya elimu
 
Nilitaka kucomment kuhusu utoaji was taarifa zako muhimu mtandaoni kwa kuhoji utashi wako juu ya hill,lakini baada ya Kuona Mwaka wako wa kuzaliwa ni 2002 nimeona siyo busara kufanya hivyo kwani bado hujafikia kujipambanua.
Mkuu Usitake Kuniambia kwamba Umemtukana Bila Kumtajia Tusi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Utukanaji uliotumia Ni wa level ya PhD..

You are telling Someone Stupid Without telling him That he is!..Polite Insults..

Thats Good motive πŸ˜…πŸ˜…

Ok kwa Ushauri wangu..

Kwa haraka haraka Naona Shida kubwa Ipo kwenye Account ya Benki so Sio mbaya unaweza ukaenda Ukabadili taarifa za Account ya Benki au Ukafungua Account nyingine..ili taarifa zioane..
Labda kama Utuambia Taarifa zipi zinakuwa Tofauti na taarifa zipi
 
Kwan Kuna njia nyingine ya kufungua account ya benk maana kadi yaa kupigia kura sina na mbaka daftari rifike dar muda au Kuna njia nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…