Je, nifanye nini ili ibaki kuwa history!!!

Budodi,READ MY SIGNATURE,hana ny...ge na wewe tena huyo,umesikia?
 
:A S-coffee:budodi12 rudia makonyagi yako kama enzi zile!
taabu za nini na wanawake???!
 
Mhmmm!!! Kutokana na maelezo yako hapo juu nina wasi wasi pengine kuna uwezekano mkubwa mpenzi wako alikuwa anakusaliti bila wewe kujua nikiwa na maana ya kuwa alikuwa na mwanaume mwingine ila wewe kwake ulikuwa ni wakuzugia tu. Kwa lugha nyingine wewe kwake upo kwa ajili ya pesa tu lakini yupo mwingine ambaye anampenda kwa dhati na ndio maana ulipomwambia kuwa umepigika aliona kuwa hufai tena kwa sababu alichokuwa anakitaka kwake hakipo tena so huna faida kwake. Uamuzi wa kuendelea kuwa naye au kumuacha ni wa kwako ila mimi nipo hapa kwa ajili ya kukushauri tu
 
For your sake fata ushauri wa Lizzy na wengine. Unless kama unataka iwe story na sio history.
 
Huyo alikua anataka boom lako tu.

Futa namba yake, weka akili kwenye kitabu, fanya mambo yanayokufurahisha, kuwa karibu na watu wanaokufurahisha utamsahau muda sio mrefu.

Thanks
 
Wanawake wa dizaini hiyo ni wengi mno,mi nakushauri kitu kimoja mapenzi ni biashara,na ni bidhaa ambayo very easy kuipata,so ni bora ununue mapenzi kuliko kufuga mapenzi,bora misaada yote hiyo ungempa ndugu au mzazi ambaye angekuombea baraka upate zaidi,kuliko huyo anayejisifu kuchuna!!
 


its the best advice,kama amekupata vizuri.big up sana kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…