Je nifuate utaratibu gani kusajili eneo la worshop?

mkwezi kidonda

Senior Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
163
Reaction score
32
Wana jf ,husika na elezo hapo juu, nina kampuni yangu ya ltd. Ila eneo la ofisi na workshop havipo eneo moja. Sasa ninataka eneo la workshop lisajiliwe kama sehemu ya kazi je nifuate utaratibu gani? Ama ili kukidhi matakwa natakiwa pawe na vigezo gani? Naombeni ushauri wenu.
 
Labda ueleze lengo lako ni nini kwa ufasaha, pia unataka visajiliwe wapi Brela ? au vitambulike wapi ? TRA ? Kuna wateja maalum wana hitaji usajiri ?
 
Back
Top Bottom