Je, nifuge mbuzi au ng'ombe?

Shamba lipo wapi,unataka kufuga ng'ombe wa aina gani?

Mazingira ya shamba yapoje,Kuna maji,Kuna bonde,Kuna majani mengi?
 
Panda miti ya mbao. Mitiki for example. Baada ya miaka 7 unaenda kuombea mkopo bank. Pia waweza kuweka mbuzi coz wanazaliana haraka afu hawahitaji matunzo makubwa kama ng'ombe.
Motivational speakers sio wa mchezo.
 
Panda miti ya mbao. Mitiki for example. Baada ya miaka 7 unaenda kuombea mkopo bank. Pia waweza kuweka mbuzi coz wanazaliana haraka afu hawahitaji matunzo makubwa kama ng'ombe.
Mbuzi watakula hiyo miti yote
 
Kweli jua ni kali [emoji23][emoji23][emoji23] kwani wewe umehisi hii post yake kaiweka jukwaa gani????
Mkuu umeangalia lakini post yake ilikuwa ya muda gani na hadi wewe unacoment umepita muda gani? Anyway moderater waliuhamishia huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…