GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hii hapaUnaogopa nini ukichelewa KP atakuwahi na kuja kusema amekuibia wazo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiiiiiii,,maweeeee[emoji23][emoji23]
Mmeishiwa hoja mnabaki kuvizia Rais atakosea wapi
Na Rais ashawajulia tu anawachezesha kwata
Jamani, tusimeseme vibaya, kwani yawezekana uelewa wako ndo unafanya aonekane hivyo.
Hapo alikuwa amempigia simu mkurugenzi wa NIDA, ikahita na alipokea aliiweka karibu na microphone ili watu wasikie, ila kwa baati mbaya hiyo simu ikawa haisikiki, wakati huo huo, hiyo simu nyingine ikapigwa na msaidizi wake akawa anasikiliza zote mbili.
Kwa hiyo si kwamba kaweka mic kwenye sikio, bali pia kuna simu kwenye huo mkono wenye hiyo mic
Neno ' ikahita ' kama uliloliandika hapa BAKITA wanalitambua? Sasa kama Kiswahili tu kinakupa shida huu Uzi utauelewa kweli?
Neno ' ikahita ' kama uliloliandika hapa BAKITA wanalitambua? Sasa kama Kiswahili tu kinakupa shida huu Uzi utauelewa kweli?
Kiswahili siyo lugha yangu ya mama, naomba unirekebishe please.
Mkuu basi hii inaweza kuwa ni ' coincidence ' tu kwani huwezi amini Kiongozi niliyekuwa namlenga Mimi yupo huko Bara la Amerika ya Kusini ambapo Yeye amefanya hicho Kituko chake Juzi. Mkuu hii ya Rais Magufuli hapa ni ya kweli au labda Maadui zake wameamua tu kufanya ' Photoshop ' na Kuiweka Mitandaoni? Imetokea lini mbona Mimi sijaiona ikitawala ' Mitandaoni ' kama ya huyo Kiongozi wa Amerika Kusini? Sidhani kama Rais wangu Magufuli tena Msomi kabisa wa Shahada ya Udaktari wa Kifalsafa ( PhD ) anaweza akawa na huu ' Ushamba / Umbwigira ' wa Kuweka ' Microphone ' Masikioni badala ya Mdomoni. Nasema tena kuwa siamini na acheni Kumsingizia kila aina ya Dhambi Rais JPM ambaye leo anaenda ' Kutunukiwa ' Shahada yake nyingine ya Udaktari wa Falsafa huko Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma katika Chuo Kikuu cha Dodoma.
Wwe ni coco channel? ???Mmeishiwa hoja mnabaki kuvizia Rais atakosea wapi
Na Rais ashawajulia tu anawachezesha kwata
Wwe ni coco channel? ???
Nyie ndio wale WAZEE WA MATUKIO! Hamna HOJA, bali mnangoja vitukio na matukio yasiyo na TIJA, kwanza kwako mwenyewe mwandikaji, msomaji na mshabiki wako! Hata wewe ungeweza kukosea na kuweka PASI kwenye SIKIO BADALA YA SIMU au siyo!?. Shughulikieni HOJA NZITO wana JF.Moja ya Kazi yangu nyingine ni ya ‘ Ukomedi ‘ lakini ambao unawasilisha jambo fulani mtambuka ( lililotokea punde ) nikiwa na nia ya Kuwaburudisha Wasomaji wangu lakini pia Kuwaonyesha Wahusika kwamba walikosea ili Siku zingine wasirejee hilo Kosa na mwisho ni kutoa Elimu kwa Watawala / Viongozi wengine.
Kuna Kiongozi Mmoja katika nchi Moja duniani alionekana akizungumza na Simu huku akiihamisha ‘ Microphone ‘ aliyokuwa ameiweka Mdomoni mwake na kisha akaiweka Masikioni mwake huku akiwa ameshika Simu Mkononi. Nataka Kuchora hii Katuni kwani yawezekana huyo Kiongozi nae labda akawa ni ‘ Comedian ‘ mwenzangu.
Je, niichore au nisiichore?
Nyie ndio wale WAZEE WA MATUKIO! Hamna HOJA, bali mnangoja vitukio na matukio yasiyo na TIJA, kwanza kwako mwenyewe mwandikaji, msomaji na mshabiki wako! Hata wewe ungeweza kukosea na kuweka PASI kwenye SIKIO BADALA YA SIMU au siyo!?. Shughulikieni HOJA NZITO wana JF.