Je, nikifungua akaunti Benki ya Standard nchini Bahamas, naweza kupata huduma kama mteja wa Benki hiyo nikiwa Tanzania?

Vf-successfully

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2017
Posts
253
Reaction score
166
Wakuu Habari Zenu,

Naomba kufahamishwa niko nje ya nchi na ninataka kufungua bank account kwenye Benki ya Standard ambapo benki hii iko pia Tanzania.

Ninachotaka kujua, Je kama nikirudi Tanzania nitapata huduma za kibenki kama mteja wa Standard niwapo Tanzania maana wasiwasi ni kuwa nimefungulia huku.
 
Maelezo mazuri unaweza yapata hapo ulipopata huduma ya kufungua akaunti.
 
... hela ya kufungulia acc na min. balance kwenye acc must be equivalent to "hela ya mboga" ya yule forofesa $$$1.4 m.
 
Sijakuelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
... katika wale waliofaidika na mgao wa escrow kuna mmoja alisema alichogawiwa ilikuwa hela ya mboga tu! Mabenki ya fukweni kama huko Bahamas ni maeneo tulivu kwa mafisadi kuficha hela zao ndio maana nikasema account zao mpunga sio wa kitoto equivalent to yule profesa wa "hela ya mboga".
 
Hapana mkuu mimi si wa nyanja hizo parefu hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…