Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Habari zenu wataalam,
Tunafahamu Serikali ya jamhuli ya muungano wa Tanzania haitambui uraia pacha.
Kwa kesi ya namna hii mali za raia aliebadili uraia mali zake utafishwa.
Naomba wabobezi wa sheria watufahamishe.