Je, nikimnunulia chupi ya Tsh. 232,602.50/- atazidisha mapenzi?

Je, nikimnunulia chupi ya Tsh. 232,602.50/- atazidisha mapenzi?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Nina Mwandani wangu nampenda sana. Natamani kuona anakuwa na furaha muda wote na kuniamini. Sasa kuna meseji iliingia kwenye simu yangu bahati mbaya, nikaona amebadilika japo hakutia neno. Nafsi inanisuta sana..

Nikawa natafuta zawadi ya kumnunulia ili iwe kama samahani ya kiutu uzima. Kuna website wanauza mavazi, nikaona chupi nzuri nikaipenda.

Je, nikimnunulia huyo chupi itasuuza moyo wake? Au atasema bora ungenipa hela nijue niifanyie nini. (Akili yangu nahisi ataipeleka VICOBA ikaliwe na Mwenyekiti).

Naomba mawazo yenu

Chupi nilochagua ni hii
Screenshot_20211126-215141.png
Screenshot_20211126-215246.png
16866528_34568588_600.jpg
16866528_34568587_600.jpg
16866528_34567819_600.jpg
 
Back
Top Bottom