Mpe fursa achague anachotaka kwenye hiyo website.
Wewe umependa hicho kivazi, bali yeye aweza penda
saa, au aweza penda Lip Gloss, au rangi za kucha, huwezi jua nini kitafurahisha nafsi yake, hawa dada zetu
wana vitu vyao wanavyopenda.
Rangi za kucha
View attachment 2024725
Lip Gloss
View attachment 2024726
Bangle Bracelet
View attachment 2024727
Kiufupi anaweza chagua kitu ambacho hata hukufikiria, hivyo utakuwa umejifunza jambo