Bila shaka utakuwa unamaanisha unamiliki frame ya biashara ila huna mtaji wa kuweka bidhaa, hutaki kukodisha na wewe ni muajiriwa serikalini au ktk taasisi binafsi, hivyo unataka ushauri je, uuchukue mkopo bank?
Kama ndivyo nakushauri kodisha tu hizo frame maana huna idea na biashara utaua mtaji bure bank waje wauze dhamana zako...