Je, nilazima kuwa na banda ili kuanza ufugaji kuku?

Je, nilazima kuwa na banda ili kuanza ufugaji kuku?

😀😀🤣🤣. Au sijaelewa vizuri. Sasa kuku bila banda utawacontain vipi mkuu?
 
Ni muhimu Banda liwepo unawezae tengeneza Banda rahisi la miti/mabanzi/tofali/mabati/mifuko kikubwa uwakinge na maadui km baridi/wezi/wanyama wakali nk. Kila la kheri ktk Safari yako.
 
Unaweza kuanza bila banda, unaishi mseto kwenye getto moja na kuku
 
Back
Top Bottom