Je nilipe kisasi?

Unafikiri ukisharudisha kisasi utakuwa na amani moyoni mwako? Je, toka mwanzo ulikuwa na nia ya kumkomoa au pendo lilitoka moyoni. Ikatae roho ya kisasi, itakutawala na haitakutoka nawe hutakuwa na amani moyoni mwako.
 

Mteme tu hana inshu huyo angalia ustarabu mwingine.
 
acha ushamba sasa kisasi cha nini? kisasi anafanyiwa mtu aliekufanyia ubaya, masuala ya kutukanwa unapotongoza yapo, we dont know approach yako ilikuwaje maana hata lugha uliyotumia inaonyesha Aproach yako si nzuri (unaposema unataka kula "mzigo")
pia ukumbuke kuna magonjwa sasa usuje ukajiingiza kusiko kuhusu, hivyo ushauri wangu ni ACHA USHAMBA
 
acha ushamba sasa kisasi cha nini? kisasi anafanyiwa mtu aliekufanyia ubaya, masuala ya kutukanwa unapotongoza yapo, we dont know approach yako ilikuwaje maana hata lugha uliyotumia inaonyesha Aproach yako si nzuri (unaposema unataka kula "mzigo")
pia ukumbuke kuna magonjwa sasa usuje ukajiingiza kusiko kuhusu, hivyo ushauri wangu ni ACHA USHAMBA
 
gonga mzigo ukute mashine mnato unase ulee mtoto wa mwanaume mwenzako bila kutaka.
 
Style yake ya kutoa maneno machafu ndo haikuwa nzuri..ila kukubaliwa na kukataliwa yote ni matokeo kwenye process nzima ya kutongoza. Accept that....Ila kisasi sikushauri!! Utajiumiza mwenyewe tu..

kabla ya kulipiza kisasi ni vema ufatilie utaratibu wa kuzipata na namna kutumia "ARV" mapemaa!
Tabia mbaya iyo!
 
kisasi ruksa but c kwa mambo ka haya mkuu! Mpotezee tu huyo....
 
unasumbuliwa na hangover ww, johnie mtembezi bado yupo kichwan dats y, kanywe supu urud.
ndio unamshaur nn ivo mwenzio loh.

huyo mtoto wa kiume bhana! Kaja mwenyewe!. Nawahi bar!
 
jidai unalipa kisasi halafu yy akuambukize UKIMWI halafu tutajua nani kamlipa mwenzie kisasi, tutakurudishe kwenu ukiwa unajaa mfuko wa rambo

acha uchafu ww unafikri mapaka anapata mimba ametembea na wangapi bila kinga, jipeleke utavuna unachotaka

Biblia inasema kila ainiye na mwananmke ambaye sio mke wake hana akili, kila afanyaye zinaa hataingia mbinguni ufunuo 21.8, mith 28.13, utubu dhambi na kuziacha na kuokolewa ndipo utapata rehema luka 1.77

kwa heri
 
jidai unalipa kisasi halafu yy akuambukize UKIMWI halafu tutajua nani kamlipa mwenzie kisasi, tutakurudisha kwenu ukiwa unajaa mfuko wa rambo

acha uchafu ww unafikri mpaka anapata mimba ametembea na wangapi bila kinga, jipeleke utavuna unachotaka

Biblia inasema kila aziniye na mwanamke ambaye sio mke wake hana akili, kila afanyaye zinaa hataingia mbinguni ufunuo 21.8, mith 28.13, utubu dhambi na kuziacha na kuokolewa ndipo utapata rehema luka 1.77

kwa heri
 
Achana na mambo ya kulipa kisasi, huyo dada ana matatizo na wewe unataka kumuongezea si vizuri!
 
HIvi kweli kama mtu bado anampenda mtu
atathubutu kusema huyu kijana alichosema hapo juu??
Binafsi naona ni bora ungemuuliza kama anampenda kuliko
kusema bado anampenda.. Maana maneno aliyoyatoa hayana upendo ndani yake kwa kweli..
Afrodenzi there is a very thin line between love and hate. Sometimes unakuta you hate somebody because you loved him/fer but he/she did not love you back the way you wanted. Ila mkikaa na akueleze, umsamehe, then love blossoms again. Huyu kijana akae mbali na huyo dada, anaweza kwenda kwa nia ya kumkomesha but once there anajikuta kamdondokea tena and it will be very confusing for him.
 
watanzania zaidi ya 1.5m wana matatizo ya akili.

Unalipa kisasi? Au unaulipisha mwili wako.
Hiyo miili ni yenu au mmeokota?

Unantia hasira za bure!
 

Inezekana ametoswa na jamaa alompa mimba, so kamkubali jamaa ili alee mzigo, bt kulipa kisasi sio mchongo wala nini..
 
once again with ths quatation ,vp umeexperience nn.
ila ni good nukuu ,i first heard kwenye series ya criminal mind,2nd tym it was u na ths z 3rd tym from u.
 
watanzania zaidi ya 1.5m wana matatizo ya akili.

Unalipa kisasi? Au unaulipisha mwili wako.
Hiyo miili ni yenu au mmeokota?

Unantia hasira za bure!
hebu kamata glass ya grants na ice cubes hapo!
 
Thanx wakuu wote wa JF kwa ushauri mzuri mlionipa so nimebadili mawazo na nimeamua kumsamehe ila ntaonesha upendo kwake kama dada yangu ili ailee mimba yake vizuri.bila JF sijui.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…