Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,385
- Thread starter
-
- #41
Ni msemo wa kawaida tu, hata mimi sijui niliutoa wapi maana uko so common (IMO).once again with ths quatation ,vp umeexperience nn.
ila ni good nukuu ,i first heard kwenye series ya criminal mind,2nd tym it was u na ths z 3rd tym from u.
Achana na mambo ya kulipa kisasi, huyo dada ana matatizo na wewe unataka kumuongezea si vizuri!
Thanx wakuu wote wa JF kwa ushauri mzuri mlionipa so nimebadili mawazo na nimeamua kumsamehe ila ntaonesha upendo kwake kama dada yangu ili ailee mimba yake vizuri.bila JF sijui.........
well noted gud lady ,wape somo ladies wenzako nao wamature km ww.Ni msemo wa kawaida tu, hata mimi sijui niliutoa wapi maana uko so common (IMO).
Kujibu swali lako: mi sijawahi kumpenda mtu na nimchukie at the same time. Nikipenda, napenda na hata nikiwa na hasira siwahi kusema kua nachukia, nasubiri hasira ziishe ndio nijue kama hisia bado zipo au zimeisha.
Ralphryder hio baa ya ngapi unoenda leo! Khaaaa....huyo mtoto wa kiume bhana! Kaja mwenyewe!. Nawahi bar!
movie ya zamani ameeact Martin Lawrence: A thin line b/n love and hateNi msemo wa kawaida tu, hata mimi sijui niliutoa wapi maana uko so common (IMO).
Kujibu swali lako: mi sijawahi kumpenda mtu na nimchukie at the same time. Nikipenda, napenda na hata nikiwa na hasira siwahi kusema kua nachukia, nasubiri hasira ziishe ndio nijue kama hisia bado zipo au zimeisha.
Mimi nafikiri hadi hpo Mungu ameshakulipia kisasi so wewe unatakiwa kutulia tu na kama utataka kulipa kisasi basi kwako litakuwa kosa na Mungu atamlipia huyo mwanamke kisasi juu yako. mie nafikiri hakuna haja ya kisasi. Fikiria ni wanawake wangapi ambao unahisi wanakupenda km wangepata nafasi ya kukuambia ungewakubalia wote? nafikiri ni wachache ambao ungekua nao.. sasa jiulize km hao ambao ungewakataa wangekua na roho ya kisasi wewe ungekua ktk hali gani?......... ni mtazamo wangu tu
Thanks
una akili nyingi sana wewe ndo mana umekuwa our rookie of the year!Kama ulimtongoza kitambo na you still feel that hate, then deep down bado wampenda. Hata hivo mapenzi ya kweli na dhati hayako hivo, daima one hutaka what is best for huyo ampendae aidha kakataliwa ama kakubaliwa. Unapomtongoza mtu sio lazima akukubali, maana roho bana hailazimishwi hata kidogo kupenda....... Haya baas kapata matatizo wataka kumuongeze kidonda emotionally na psychologically na on top of that ana mimba? Kua na huruma jamani.... Wanawake twapitia mengi, na whenever possible tujaribu epusha maumivu ya makusudi.
Ni kweli, msichana anaujauzito kwa nini unamhitaji kaka chana naye chapa lapa.Style yake ya kutoa maneno machafu ndo haikuwa nzuri..ila kukubaliwa na kukataliwa yote ni matokeo kwenye process nzima ya kutongoza. Accept that....Ila kisasi sikushauri!! Utajiumiza mwenyewe tu..
Afrodenzi there is a very thin line between love and hate. Sometimes unakuta you hate somebody because you loved him/fer but he/she did not love you back the way you wanted. Ila mkikaa na akueleze, umsamehe, then love blossoms again. Huyu kijana akae mbali na huyo dada, anaweza kwenda kwa nia ya kumkomesha but once there anajikuta kamdondokea tena and it will be very confusing for him.
Crap, OMG!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Habari zenu wana JF
wakuu kuna manzi ambaye nilimtongoza zamani kidogo lakini yeye alinikataa kwa kunitolea maneno machafu mno.baada ya kusikia ana mimba na aliyempa kaikataa nikamtongoza tena na kunielewa bila shida nia yangu ikiwa ni kulipa kisasi.nna mpango wa kula "mzigo" na kuanza mbele,je ntekeleze azma yangu?au nisamehe tu?.ni hayo tu
Ralphryder hio baa ya ngapi unoenda leo! Khaaaa....
Acha uvulana ww,naamini wanuame hawana sifa za aina hii,ungesikia mambo km haya yamemkuta dada yako ungemfanyaje huyo kivulana?kisasi sio kazi yangu mwachie mungu ashuhulike nalo.Habari zenu wana JF
wakuu kuna manzi ambaye nilimtongoza zamani kidogo lakini yeye alinikataa kwa kunitolea maneno machafu mno.baada ya kusikia ana mimba na aliyempa kaikataa nikamtongoza tena na kunielewa bila shida nia yangu ikiwa ni kulipa kisasi.nna mpango wa kula "mzigo" na kuanza mbele,je ntekeleze azma yangu?au nisamehe tu?.ni hayo tu
Habari zenu wana JF