Je nilipe kisasi?

kweli mkubwa alikosea kukutolea maneno machafu na kupewa ujauzito na mtu mwingine sio tatizo pia kwani ni hali ambayo inaweza kumtokea hata mtu wako mwingine wa karibu,cha msingikama una mapenzi nae ya kweli angalia hilo... kama unataka kula mzigo toa fikrani kuwa unamkomoa bali ni mipango iliyokuwepo ndani ya mioyo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…